hahaha Bek benchaz walikua wanajiona magangwe kuliko wote darasani. Umenikumbusha jamaa mmoja alikua mfupi kuliko wote darasani kwetu ila alikua anapenda sana kuwa miongoni mwa bek benchaz.
Mimi nilikuwaga napata barua nyingi hasa nikienda kwenye debate kibosho galz na weruweru halafu msichana huyo huyo unakuta kaandika kibao pia kwa marafiki zangu anajaribu kukucheki kama unamsimamo ukijibu tu kwa kupanic i love uu sijui nini wanaibandika ukutani bwenini wanakucheka weeee! Nilikuwa sijibu nisije chemka
Weruweru!
Nakumbuka nilikuwa mahiri sana wa Jiving na Drama.
Nilikuwa mwana YCS mzuri (nilikuwa na sura ya Mungu, bia zilikuwa hazijaniharibu bado). Nilikuwa kiongozi wa YCS. Katika kufanya logistics za kufanya maigizo pale nilikutana binti mrembo sana. Naye alikuwa kiongozi wa YCS kama mimi. Siku ya siku nikafanya vitu vyangu. Mabinti walinishangilia sana nakumbuka.
Kati ya barua nyingi nilizoandikiwa na wale mabinti, ilikuwemo pia ya yule binti mrembo kiongozi wa YCS. Ndio ukawa mwanzo wetu uliopelekea yule binti kuwa Mrs Chrispin. Yaani mke wangu mama Matesha! Sijawahi kujuta kumfahamu huyu binti!

hahahaaaaaaaaaa\! duh! leo nimecheka sanaWewe kweli cheo kilikupa mke, mimi sikuwahi kuwa hata monita wa darasa mpaka leo hii na ndio maana sijihusishi na siasa sina dalili ya uongozi.
Wewe kweli cheo kilikupa mke, mimi sikuwahi kuwa hata monita wa darasa mpaka leo hii na ndio maana sijihusishi na siasa sina dalili ya uongozi.
Kuna jamaa aliniazima kanda ya viktoria elleyson, nikaipoteza! Reaction yake ilifanya niitafute hadi niipate!
Wakati huo nilpenda sana kusoma novel za james bond 007 e.g. from Russia with love, a paw in the bottle etc.
Nakumbuka novel moja ya kikubwa inaitwa unfit for human consumption....only if i can turn back the hands of time
Mkuu we acha tu. Mpaka leo nikiikumbuka WERUWERU moyo unanidunda! Ilinifanya kale kapenzi kangu ka kwanza kalikokuwa kanasoma Machame Girls nikapige chini.Dah! Mzee kumbe hizo barua zilizaa matunda! Imekaa vizuri sana!
Mi mwenyewe hicho ndiyo kilikuwa cheo changu kikubwa. Mkurugenzi wa burudani wa YCS. Cheo kingine kilikuwa Time Keeper nilichodumu nacho kwa miezi miwili tu nikatimuliwa.Wewe kweli cheo kilikupa mke, mimi sikuwahi kuwa hata monita wa darasa mpaka leo hii na ndio maana sijihusishi na siasa sina dalili ya uongozi.
Mkuu Tegeta kuna cheo kinatafuta mtu. Nikufanyie mpango? Meneja wa bar cum Mnywaji.Yaani wewe kama mimi kabisa! Mimi vyeo nimekuja kupata mitaani, vyeo vyewewe eti mwenyekiti au katibu wa kamati ya harusi!
Sikuiona hii, imetulia kweli babakeName Nguli Sakamoto
Best Food- banana & Ngararimu
Best Car- Toyota Stout & Peugot
Best teacher- Kiondo Kisaka Mauki
Best girl- Maria Sungusia Olotu
Best place-gym
Best actor-Bruce Lee & Rambo
Best actress- Synthia Rockros
Best movie-The gods must be crazy & Mr. Ibu
Best colour- Red
Best website-Jamboforum
Best Subject-Biology
Best song-I will always love u & My heart will go on
hahahaaaaaaaaaa\! duh! leo nimecheka sana
natakiwa kuendesha kikao kuanzia saa 10:00 kakini sijaenda kikaoni!
nasoma tu! hapa.
YCS nilikuwa kiboko wa maigizo mimi na jaiving.
weruweru, Kibosho girls, Uru sec, Ashira, acha kabisa!
Yaani wewe kama mimi kabisa! Mimi vyeo nimekuja kupata mitaani, vyeo vyewewe eti mwenyekiti au katibu wa kamati ya harusi!
hi all wapendwa, sorry its my first post so please ignore the mistakes. Namtafuta rafiki yangu HUBILA MASUNGA au kaka yake Kacian frm dodoma.alisoma shule ya msingi makole, dodoma secondary, na uyui high school tabora.anaishi shinyanga.please kama mtu anafahamu contacts zake PLEASE PLEASE let me know.1hope@live.co.uk
thanks
thanks dear, no hatumii jf am sure. so what do you think itakuwa best way kumtafuta cse sina contact zake
hi all wapendwa, sorry its my first post so please ignore the mistakes. Namtafuta rafiki yangu HUBILA MASUNGA au kaka yake Kacian frm dodoma.alisoma shule ya msingi makole, dodoma secondary, na uyui high school tabora.anaishi shinyanga.please kama mtu anafahamu contacts zake PLEASE PLEASE let me know.1hope@live.co.uk
thanks
Tulikuwa seminary pale moshi tunapelekwa kibosho galz na mapadre kwa debate only nikifika pale mbele nasahau hata na motion ilikuwa inasema nini, siunajua tulikuwa hatuna hata mwalimu mwanamke?