The best.....enzi za form two hizo

The best.....enzi za form two hizo

hahaha Bek benchaz walikua wanajiona magangwe kuliko wote darasani. Umenikumbusha jamaa mmoja alikua mfupi kuliko wote darasani kwetu ila alikua anapenda sana kuwa miongoni mwa bek benchaz.

ha ha ha watu wafupi ni wakorofi sana kuna kajamaa kalikuwa kanaitwa Temba kalikuwa back bencha na wala hata ubao hakioni na ukikiambia kiende mbele kinanuna, alikuwa ni msumbufu sana sema kalikuwa kanajua number/hesabu tulimwita KANDUNJE
 
Kuna jamaa aliniazima kanda ya viktoria elleyson, nikaipoteza! Reaction yake ilifanya niitafute hadi niipate!
Wakati huo nilpenda sana kusoma novel za james bond 007 e.g. from Russia with love, a paw in the bottle etc.
Nakumbuka novel moja ya kikubwa inaitwa unfit for human consumption....only if i can turn back the hands of time
 
Mimi nilikuwaga napata barua nyingi hasa nikienda kwenye debate kibosho galz na weruweru halafu msichana huyo huyo unakuta kaandika kibao pia kwa marafiki zangu anajaribu kukucheki kama unamsimamo ukijibu tu kwa kupanic i love uu sijui nini wanaibandika ukutani bwenini wanakucheka weeee! Nilikuwa sijibu nisije chemka

Weruweru!
Nakumbuka nilikuwa mahiri sana wa Jiving na Drama.
Nilikuwa mwana YCS mzuri (nilikuwa na sura ya Mungu, bia zilikuwa hazijaniharibu bado). Nilikuwa kiongozi wa YCS. Katika kufanya logistics za kufanya maigizo pale nilikutana binti mrembo sana. Naye alikuwa kiongozi wa YCS kama mimi. Siku ya siku nikafanya vitu vyangu. Mabinti walinishangilia sana nakumbuka.

Kati ya barua nyingi nilizoandikiwa na wale mabinti, ilikuwemo pia ya yule binti mrembo kiongozi wa YCS. Ndio ukawa mwanzo wetu uliopelekea yule binti kuwa Mrs Chrispin. Yaani mke wangu mama Matesha! Sijawahi kujuta kumfahamu huyu binti!
 
Dah! Mzee kumbe hizo barua zilizaa matunda! Imekaa vizuri sana!
 
Wewe kweli cheo kilikupa mke, mimi sikuwahi kuwa hata monita wa darasa mpaka leo hii na ndio maana sijihusishi na siasa sina dalili ya uongozi.
 
hahahaaaaaaaaaa\! duh! leo nimecheka sana
natakiwa kuendesha kikao kuanzia saa 10:00 kakini sijaenda kikaoni!

nasoma tu! hapa.

YCS nilikuwa kiboko wa maigizo mimi na jaiving.
weruweru, Kibosho girls, Uru sec, Ashira, acha kabisa!
 
Yaani wewe kama mimi kabisa! Mimi vyeo nimekuja kupata mitaani, vyeo vyewewe eti mwenyekiti au katibu wa kamati ya harusi!
icon10.gif
icon10.gif
 
Nakumbuka sana enzi za ku-sign autographs. Pale Mzumbe 'Shule ya Wanaume' ukifanikiwa kumnasa mtoto wa Kilakala aka-sign auto yako ni raha moja kwa moja. Nakumbuka pia jinsi tulivyokuwa tunashangilia wakati bus la Leyland CD likiingia Mzumbe kuwaleta watoto wa Kilakala au 'Kiley' kwa ajili ya disco. Edward Hossea (sasa Dr) akiwa Head Prefect makini sana. Enzi zile! we acha tu.
 
Kuna jamaa aliniazima kanda ya viktoria elleyson, nikaipoteza! Reaction yake ilifanya niitafute hadi niipate!
Wakati huo nilpenda sana kusoma novel za james bond 007 e.g. from Russia with love, a paw in the bottle etc.
Nakumbuka novel moja ya kikubwa inaitwa unfit for human consumption....only if i can turn back the hands of time

Uliwahi kusoma zile za kikubwa za David Mahilu? My dear bottle na nyingine ambazo zilipigwa marufuku baadaye? Nakumbuka "... I'm a jigger in your toe. I like to bite. To bite women. Women with tits that bounce.... Ha ha ha, jamaa alikuwa kiboko.
 
Dah! Mzee kumbe hizo barua zilizaa matunda! Imekaa vizuri sana!
Mkuu we acha tu. Mpaka leo nikiikumbuka WERUWERU moyo unanidunda! Ilinifanya kale kapenzi kangu ka kwanza kalikokuwa kanasoma Machame Girls nikapige chini.

Wewe kweli cheo kilikupa mke, mimi sikuwahi kuwa hata monita wa darasa mpaka leo hii na ndio maana sijihusishi na siasa sina dalili ya uongozi.
Mi mwenyewe hicho ndiyo kilikuwa cheo changu kikubwa. Mkurugenzi wa burudani wa YCS. Cheo kingine kilikuwa Time Keeper nilichodumu nacho kwa miezi miwili tu nikatimuliwa.

Yaani wewe kama mimi kabisa! Mimi vyeo nimekuja kupata mitaani, vyeo vyewewe eti mwenyekiti au katibu wa kamati ya harusi!
icon10.gif
icon10.gif
Mkuu Tegeta kuna cheo kinatafuta mtu. Nikufanyie mpango? Meneja wa bar cum Mnywaji.
 
Name Nguli Sakamoto
Best Food- banana & Ngararimu
Best Car- Toyota Stout & Peugot
Best teacher- Kiondo Kisaka Mauki
Best girl- Maria Sungusia Olotu
Best place-gym
Best actor-Bruce Lee & Rambo
Best actress- Synthia Rockros
Best movie-The gods must be crazy & Mr. Ibu
Best colour- Red
Best website-Jamboforum
Best Subject-Biology
Best song-I will always love u & My heart will go on
Sikuiona hii, imetulia kweli babake
wasichana walikuwa na madaftari yenye nyimbo za akina Celine Dion, Eve, Faith Evans, Tony Braxton n.k
wavulana wao walikuwa na daftrai zenye nyimbo za akina Tupac, BIG, Puffy Daddy n.k
Ilikuwa pouwa lakini chanzo cha kufeli
 
hahahaaaaaaaaaa\! duh! leo nimecheka sana
natakiwa kuendesha kikao kuanzia saa 10:00 kakini sijaenda kikaoni!

nasoma tu! hapa.

YCS nilikuwa kiboko wa maigizo mimi na jaiving.
weruweru, Kibosho girls, Uru sec, Ashira, acha kabisa!

Kaendeshe kikao na usimame upande wa wanyonge msifisadi. Na inaonekana wwe mabo yako safi unaendesha kiako? kwa hio wewe ni management
icon10.gif
/managerial
icon10.gif
hongera sana. Usiwe na roho mbaya kama bosi wangu hata ukienda likizo anakua sign kazi ukiwa hata nyumbani.

Yaani wewe kama mimi kabisa! Mimi vyeo nimekuja kupata mitaani, vyeo vyewewe eti mwenyekiti au katibu wa kamati ya harusi!
icon10.gif
icon10.gif

Mimi hata kwenye harusi hawanipi, cheo kikubwa nilipataga kilikuwa cha kukaribisha wageni mlangoni hata hivyo kilidumu for 15 minutes wakanitoa wakawaweka wadada 2 warembo.

PLATO alisema minority intelegent are meant to lead majority who are fools...sijui kwa afrika kama hii iko applcable.
 
hi all wapendwa, sorry its my first post so please ignore the mistakes. Namtafuta rafiki yangu HUBILA MASUNGA au kaka yake Kacian frm dodoma.alisoma shule ya msingi makole, dodoma secondary, na uyui high school tabora.anaishi shinyanga.please kama mtu anafahamu contacts zake PLEASE PLEASE let me know.1hope@live.co.uk
thanks
 
eeeh haya ndio yale mambo ya kumtafuta baba ebuye....any way karibu sana jamvini lakini sizani kama Hubila utampata hapa...anatumia JF?
 
thanks dear, no hatumii jf am sure. so what do you think itakuwa best way kumtafuta cse sina contact zake
 
tbc wana kipindi kinaitwa bango...kama yupo bongo tumia njia hiyo
 
hi all wapendwa, sorry its my first post so please ignore the mistakes. Namtafuta rafiki yangu HUBILA MASUNGA au kaka yake Kacian frm dodoma.alisoma shule ya msingi makole, dodoma secondary, na uyui high school tabora.anaishi shinyanga.please kama mtu anafahamu contacts zake PLEASE PLEASE let me know.1hope@live.co.uk
thanks

Unaonekana huyu mtu unamwitaji sana, yaani ulivyojieleza nakuona hadi moyoni mwako unavyomwitaji kwa bahati nzuri jina lake gumu kweli ndio mtu wa kwanza kumsikia anahilo jina. Ila jina la hio shule MAKOLE ni sumu kali sana kwa luga ya kijijini kwangu.
 
Archimedes Principle: When the body is whole or partially immersed in a fluid, it experiences an upthrust equal to the weigth of the fluid displaced. Dah hii nimeishika mpaka leo huwa siisahau PHYSICS hiyooooooo. nikiwa form 2 kuna mtoto mmoja wa form 1 alinipenda mno akajitangazia kuwa yeye ndo mamsap wangu, enzi zamisemo ya KAJIGONGA au KAJIBAMIZA, dah alinipenda mno lkn sikumpenda maskini nilimtesa sana, sasa hivi ni ticha Morogoro vijijini.
 
Tulikuwa seminary pale moshi tunapelekwa kibosho galz na mapadre kwa debate only nikifika pale mbele nasahau hata na motion ilikuwa inasema nini, siunajua tulikuwa hatuna hata mwalimu mwanamke?

ha ha haaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom