NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 643
- Thread starter
- #81
hahaha Bek benchaz walikua wanajiona magangwe kuliko wote darasani. Umenikumbusha jamaa mmoja alikua mfupi kuliko wote darasani kwetu ila alikua anapenda sana kuwa miongoni mwa bek benchaz.
ha ha ha watu wafupi ni wakorofi sana kuna kajamaa kalikuwa kanaitwa Temba kalikuwa back bencha na wala hata ubao hakioni na ukikiambia kiende mbele kinanuna, alikuwa ni msumbufu sana sema kalikuwa kanajua number/hesabu tulimwita KANDUNJE