Sio kweli vigezo vya UEFA sio sawa na vigezo vya FIFA.Halafu ndugu yangu vigezo vyote alivyoshindia Messi kwa mujibu wako ni hivyo hivyo walitumia UEFA. Messi anacheza mpira europe vipi kule ashindwe kabla ya miezi miezi miwili leo awe mshindi. utasema UEFA wamekosea na mimi nitasema FIFA wamekosea.
UEFA wanaangalia mashindano ya UEFA tu lakini FIFA wanaangalia mashindano yote.
Pia hawaangalii umechukua nini kama timu wanaangalia umefanya individually