Digaller
JF-Expert Member
- Oct 20, 2009
- 798
- 541
nilichogundua brother unamchukia sana van virgil,
akifanya vizuri messi na ronaldo ni individual perforamance ila anachokifanya van virgil na wachezaji wengineo nje ya messi na ronaldo ni team performance.
Ebo! Mbona unanilisha maneno? Kwahiyo nae Cannavaro namchukia??
Je unakumbuka 2012 nini kilitokea baada ya Chelsea kubeba uefa champions league?
Je Terry au Didier Drogba au Lampard kati ya hao kuna ambae alistahili kubeba mchezaji bora wa Dunia?
Na je kwanini Chelsea haikuingiza hata mchezaji mmoja kwenye fifa 11 pro? Hapo ndio utajua mantiki ya hoja yangu kuwa Liverpool kubeba ubingwa sio ni kwa sababu ya kiwango bora cha VVD, Sadio Mane alikuwa far beta than VVD bt liverpool walibeba kutokana na team spirit/overall team perfomance na sio kiwango bora cha VVD.
Yes sikatai kuwa VVD alikuwa na kiwango bora ila kulinganisha kiwango chake bora na kiwango cha Messi kwa msimu uliopita sio fair kabisa, Messi was far beta than Virgil na ndio maana waliopiga kurra wakampa Messi hiyo tuzo.
Simchukii Virgil ila unahitaji ujasiri wa kiwango cha juu kumlinganisha beki na foward na ndio maana nikashauri kuwa fifa wawe wanaandaa tuzo za kuwapa hawa mabeki kama wanavyofanya kwa makipa.