The Best FIFA Football Awards 2019: Messi atwaa tuzo ya Mchezaji bora, Klopp awa Kocha bora

The Best FIFA Football Awards 2019: Messi atwaa tuzo ya Mchezaji bora, Klopp awa Kocha bora

nilichogundua brother unamchukia sana van virgil,
akifanya vizuri messi na ronaldo ni individual perforamance ila anachokifanya van virgil na wachezaji wengineo nje ya messi na ronaldo ni team performance.

Ebo! Mbona unanilisha maneno? Kwahiyo nae Cannavaro namchukia??

Je unakumbuka 2012 nini kilitokea baada ya Chelsea kubeba uefa champions league?

Je Terry au Didier Drogba au Lampard kati ya hao kuna ambae alistahili kubeba mchezaji bora wa Dunia?

Na je kwanini Chelsea haikuingiza hata mchezaji mmoja kwenye fifa 11 pro? Hapo ndio utajua mantiki ya hoja yangu kuwa Liverpool kubeba ubingwa sio ni kwa sababu ya kiwango bora cha VVD, Sadio Mane alikuwa far beta than VVD bt liverpool walibeba kutokana na team spirit/overall team perfomance na sio kiwango bora cha VVD.

Yes sikatai kuwa VVD alikuwa na kiwango bora ila kulinganisha kiwango chake bora na kiwango cha Messi kwa msimu uliopita sio fair kabisa, Messi was far beta than Virgil na ndio maana waliopiga kurra wakampa Messi hiyo tuzo.

Simchukii Virgil ila unahitaji ujasiri wa kiwango cha juu kumlinganisha beki na foward na ndio maana nikashauri kuwa fifa wawe wanaandaa tuzo za kuwapa hawa mabeki kama wanavyofanya kwa makipa.
 
Hili swali nimeshalijibu huko nyuma, ni vema ukawa unapitia mjadala mzima sio unapitia quote zako tu.

Uefa wamempa vvd kwa kuangalia uefa champions league na europa league tu na ambayo kwangu mm Sadio alifanya vizuri than vvd so tafuta hiyo post, nimeelezea vizuri tu
Sidhani kama tunatofautiana sana, FIFA wamekuwa hawaeleweki katika formula yao kwa maana kukiwa na makosa mengi hata mengine yataulizwa. Sasa ukiangalia top voted players mwaka huu majina utakuta Mohd Salah na Sadio Mane wameshika nafasi ya 4 na 5 lakini hawa wachezaji hawako kabisa katika 11 players of FIFA. Hakuna ubishi wa uwezo wa Messi tatizo kama UEFA wameangalia UEFA na Nation league walimuonea Messi sababu hakushiriki Nation league. ikiwa FIFA wanatizama kufunga sana magoal na kusaidia team basi mwaka jana angechukuwa Mo Salah. alipewa Modric kwa sababu alichukuwa alisaidia UEFA Madrid hakuwa mfungaji bora leo tunasema hapana Messi kafunga magoal mengi na assist. angepwa golden boot sio as best last season.
 
unataka kuniambia sneijder, xavi na iniesta hawakuwa na juhudi?

mwaka 2010 inter milan walibeba makombe matatu makubwa barani ulaya, mwaka huo huo uholanzi walifika fainal kombe la dunia na key player alikuwa ni wesley sneijder mbona hakushinda tunzo?

argentina alitolewa robo fainali na ujerumani
barcelona alitolewa nusu fainali dhidi ya inter milan.
kwa sababu alifunga magoli mengi la liga na uefa kama kawaida tunzo akapewa messi

Mkuu wachukulie tu hao, ndani akili zao wanafahamu kuwa juhudi ni kufunga magoli tu.
 
Kwahiyo unataka kuniambia Modric alikuwa na kiwango bora kuliko CR7 na MESSI?

Na unataka pia kuniambia WESLEY alikuwa na kiwango bora kuliko MESSI mwaka 2010? Kwa lipi na kipi alichofanya?

Je unafahamu kuwa Makombe ni overall perfomance ya team mzima na sio mchezaji mmoja?

Je unakubaliana nami kuwa unaweza ukawa na wavunja kuni na kubeba makombe ila kazi yao ikawa ni kuzuia na kusubiri penalty kama GREECE au PORTUGAL?

Je unajua kuwa tuzo hupewa kwa kuzingatia overall perfomance ya mchezaji na sio overall perfomance ya team?

Tatizo wengi wetu tunachanganya kati ya team perfomance na individual perfomance na pia tunashindwa kuelewa kuwa tuzo ya uchezaji bora wa Dunia ni individual perfomance na sio team perfomance.

Narudia tena, Nje ya kubeba UCL kwa msimu huu VIRGIL is nothing, ni sawa na KOULIBALY tu, Bernado Silva alikuwa na msimu bora kuliko VIRGIL kwa individual perfomance.

Modric alikua bora kuliko CR7 na Messi. Mpira alioupiga ndani ya World Cup ni waheshima kabisa. Wakati alipokua akilitawala duara Messi alikua mtalii uwanjani anazunguka tu.
 
Sisi tunazungumzia current issue.
Mkuu hukuelewa wapi ?
Kama ukileta mambo yale ya miaka 2010 basi messi angechukua kwasababu kipindi kile walikua wanaangalia performance ya mtu pekee.
Ndio maana hata Ronaldo 2013 licha ya realmadrid kukosa kombe hata moja lakin yeye alipata tuzo ya mchezaji bora.
Lakini ukija kwa sasa hv uefa wanatizama kombe.
Usipochukua kombe huwez ukawa mchezaji bora wa Uefa.
Ila FiFa wanatizama nini umefanya ww umeperform kiwango kipi.

Kilichombeba VVD kuwa mchezaji bora uefa ni kwasababu yeye amefanikiwa kuwa mlinzi ama mkabaji mahiri.Beki hupimwa umahiri wake katika kuzuia mashambulizi.Van Dijk ndivyo alivyofanya.Na pia hiyo ikawafanya wao kulinda mlango wao kiasi cha kubeba mpk UEFA.Ukitizama ni km yeye kachangia kwa kiasi kikubwa kwasababu km back line ingekuwa mbovu Liverpool tusingewaona final.

UEFA hawajawahi kusema kama wanatizama performance ya mtu pekee au wanatizama kombe. Unayoyasema sio ya kweli. Wamekua wakivitumia hivo vigezi kwa kuchagua wanaowataka tu.

Na bado nashindwa kufahamu hiyo individual wakuu mnaifahamu vipi? hivi ukishakua forward ukafunga magoli mengi hiyo ndio individual?
 
nilichogundua brother unamchukia sana van virgil,
akifanya vizuri messi na ronaldo ni individual perforamance ila anachokifanya van virgil na wachezaji wengineo nje ya messi na ronaldo ni team performance.

Hayo ndio maneno yao mkuu kama hujawaelewa.
 
Na hiyo ndio logic yangu, kama umenielewa basi vizuri sana, tuzo ni overall perfomance ya mchezaji na sio overall team perfomance ya team.

Nikuulize swali, Unadhani kwanini Mohamed Salah alibeba PFL mwaka juzi na sio Kelvin De Bruyne? Kumbuka mohamed salah hakubeba kombe lolote lile na unadhani kwanini VVD kabeba PFL mwaka huu na sio Raheem Stearling? Wakati VVD hajabeba EPL?

Ukipata majibu ya hayo maswali basi hutoangaika hapa kuuliza uliza tena.

Kuna tofauti kubwa, tena kubwa sana kati ya Team perfomance na individual perfomance na tuzo huwa zinaangalia individual perfomance na sio team perfomance, kumbuka uzembe wa Dejan Lovren haukumzuia Mohamed Salah kubeba PFL na kama ulivyo uzembe wa Gerald Pique ambavyo haukumzuia Messi kubeba mchezaji bora wa Dunia.

Its all about individual perfomance na sio team perfomance, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Messi alistahili kwa msimu uliopita.

Ningeomba unijibu swali langu
Hivi Modric mwaka jana ilikua ni individual au Team performance?
 
Vigezo vya tuzo ya Jana ni upigaji kura, na matokeo ya waliopiga kura yamekuwa Published

Hao wote muliotaka wawepo kwenye hiyo Top three wameshindwa kuwepo sababu ya kura zao zilikuwa hazitoshi mchakato ulikuwa rahisi hivyo
 
Sidhani kama tunatofautiana sana, FIFA wamekuwa hawaeleweki katika formula yao kwa maana kukiwa na makosa mengi hata mengine yataulizwa. Sasa ukiangalia top voted players mwaka huu majina utakuta Mohd Salah na Sadio Mane wameshika nafasi ya 4 na 5 lakini hawa wachezaji hawako kabisa katika 11 players of FIFA. Hakuna ubishi wa uwezo wa Messi tatizo kama UEFA wameangalia UEFA na Nation league walimuonea Messi sababu hakushiriki Nation league. ikiwa FIFA wanatizama kufunga sana magoal na kusaidia team basi mwaka jana angechukuwa Mo Salah. alipewa Modric kwa sababu alichukuwa alisaidia UEFA Madrid hakuwa mfungaji bora leo tunasema hapana Messi kafunga magoal mengi na assist. angepwa golden boot sio as best last season.

Mkuu jaribu kufatilia kwa makini, hizo nafasi walizokuwepo hawakupata kura za kutosha kuwafanya kuingia kwenye kikosi hicho cha wachezaji Bora wa FIFA
 
Mkuu jaribu kufatilia kwa makini, hizo nafasi walizokuwepo hawakupata kura za kutosha kuwafanya kuingia kwenye kikosi hicho cha wachezaji Bora wa FIFA
Mkuu nimefuatilia Messi kapata 48, VVD-38 Ronaldo 36, Salah 26 na Mane 24 hawa ndio top 5 sasa iweje hawako katika top 11
 
Mkuu nimefuatilia Messi kapata 48, VVD-38 Ronaldo 36, Salah 26 na Mane 24 hawa ndio top 5 sasa iweje hawako katika top 11
FIFA MEN'S WORLD PLAYER 2019 VOTING RESULTS
Rank Name Rank points
1Lionel Messi 46
2 Virgil van Dijk 38
3 Cristiano Ronaldo 36
4 Mohamed Salah 26
5 Sadio Mane 23
6 Kylian Mbappe 17
7 Frenke de Jong 16
8 Eden Hazard 16
9 Matthijs De Ligt 9
10 Harry Kane 5
 
IMG_3377.JPG


Kimsingi hiki ndicho kinatokea jamaa wanapewa adhabu kwa kuwa na consistence waliyo nayo
 
Technically for European Top 5 league. Top Goal score ni Messi akiwa na 36 kama sikosei na mbappe akifatia sasa kwa mantiki hiyo Forwards hawa wawili hawawezi kukosa bado Goal Machine CR7

Ukiangalia kwa jicho la tatu au Jicho la mwewe, hawa Ndugu zetu salah na Mane wavumilie Tu na wapige kazi huwezi kujua next season
 
Tatizo sikuizi tuzo ya mchezaji bora wanagawa tu ilimradi hapo mimi ningempa ronaldo



Kinachoangaliwa ni individual perfomance na sio vikombe tu..


Halafu Messi ana vitu vingi ameonyesha kuliko mchezaji yeyote duniani, na kama huamini check this kamanda 👇


LEO10 LAST SEASON 2018-2019

Europe top scorer👍
Barcelona top scorer👍
Champions league top scorer👍
La liga top scorer👍
Barcelona most assists👍
La liga most assists👍
Most La liga MOTM Awards👍
Most UCL MOTM Awards👍
Most chances created👍
Most goal contributions in the top 5 leagues👍
Most points won for his team in the top 5 leagues👍
Most free-kick goals👍
Most braces👍
Most hat-tricks👍
Top scorer & Top 6 EPL teams👍
Contibuted to 74/96 team goals👍
UCL most man of the week👍
UCL best foward👍
UCL goal of the tournament👍
Pichichi award (La liga golden shoe)👍
6th European golden shoe 2019 (record)👍
Most goals outside box👍
La liga MVP👍

ESPY Best international Men's soccer player of the year👍


Ronaldo akalime viazi, siku akifikisha hizi record najing'ata...
 
Nadhani hilo swali ungewapa UEFA si ndio walimchagua VVD. Hivi ni lazima wote tukubaliane kuwa Messi alistahili. ukiona mtu anatumia nguvu sana ujuwe hana uhakika. VVD alipewa majuzi UEFA kwa vigezo hivyo hivyo walivyompa Messi. ukiangalia hata team bora ya UEFA na ya FIFA jibu utapata tu.
Wengi mnachanganya sana mambo, tuzo ya UEFA inaangalia mashindano ya UEFA tu, lakini tuzo za FIFA zinaangalia individual performance tokea msimu unavyoanza kuanzia July 2018 hadi June 2019.
Sasa angalia stastics za messi individually na VVD.
Individual performance Messi aliwazidi wote ila ka ni team performance VVD alimzidi Messi.
Hapo hawaangalii umechukua makombe mangapi, inaangaliwa wewe individually umefanya nini.
 
Back
Top Bottom