Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ya kwangu nambari moja itakuwa ni: "Lulu Iko Mbinguni"
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bony Mwaitege -Mama.
Hapo ndo mwisho wa kila kitu.
Yeah Madame B huo ni wa kwetu! Mzee Mwanakijiji kasema nyimbo za Tanzania, wengine wameshaanza kuweka za Kenya. Mimi wangu ni NANYATANYATA.
Martha Mwaipaja - Usikate tamaa
Kila asubuhi huwa naiskiliza na siichoki
Solomon Mukubwa: Mungu mwenye Nguvu
Napenda hii verse ' wanipa tumaini la maiiishaa baba yangu, oh duniani, natembea nawe baba yangu, sitakuacha mii ooh, Neema zako fadhili zako kila asubuhi, ni mpya tena zanifariji moyo, niamkapooo, nikikosewa na maisha..wanipa tumaini la maisha baba,,,,'
Naisikiliza to and from work kwa frequency ya once per week...
Nikiwa nimeshamshusha husband naongeza volume so loud and I sing on top of my voice !
Injinia Nsiande nimepapenda hapo.....hebu paandike kwa lugha ya taifa yaani kiswahili tuone inakuwaje..
Mzee, Kuna Kaswida fulani tulikua tunaimba madrass, very nice.
Sijui niweke hapa? It is to praise the prophet Muhamad (SAW)