Naupenda sana huu wimbo kila niusikiapo, huwa tunaimba kwa furaha sana kanisani..nakumbukia enzi nipo kwaya ya chuo kikuu![video=youtube_share;RTbCJK7iyU0]http://youtu.be/RTbCJK7iyU0[/video]Nimeonja pendo lako nimejua uuu mwema nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Nitawaongoza vyema waimbe kwa furaha nitakushukuru nitawainua wote wakusifu weweUkarimu wako Bwana na huruma yako wewe, msamaha wako Bwana na upole wako wewe. Umenitendea wema usiopingika, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Kina mama simameni piga vigelegele nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Na kina baba nyanyuka mkapige makofi nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe, msamaha wako Bwana na upole wako wewe. Umenitendea wema usiopingika, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Watu wote nesanesa chezeni kwa furaha, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Inua mikono juu shangilieni Bwana nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe, msamaha wako Bwana na upole wako wewe. Umenitendea wema usiopingika, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Watawa washangilie makasisi.......(unaendelea)