Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Nikiziangalia mbiguu ni kazi ya mikono yake...[/QUOTEku
kumbe na wewe
umo shem wangu?inapendeza!!!
my shemeji yangu mpenzi Passion Lady mie nimekumiss sana, inabidi tupange siku nyingine twende tukatembelee kule mahali mimisa mie sijui habari zake[/QUOTE
we manoah
unajipenda kweli?
kucha zako unapenda ubaki nazo?
shaurilooo!!
mie, hakuna mtu mwenye uwezo wa kunifanyia baya, na atakae jaribu, ukoo wake wote utateketea hata nzi wa maeneo jirani na mmbu hawato salimika, na ukame wa hatari mahali walipo zaliwa, umesikia shemeji yangu mpenzi Passion Lady
Nyimbo za tenzi na kitabu cha kilutheri huwa zinanipa faraja kweli. Bila kusahau nyimbo za wasabato
Huu wimbo:
MUNGU AMENIHURUMIA
TENDO HILI KUBWA SANA
SIKUSTAHILI JAMBO HILI
NIMELIPATA BURE TU
SASA NAJUA HAYA YOTE
NASIFU HURUMA YAKE
huwa nikiuimba na machozi yananitoka.
Kuna wimbo wa kisabato unaitwa U MWENDO GANI NYUMBANI. huu sijaupata kwenye audio kwa hiyo naughani akapela.
Uliniumba Nikuabudu- the most theologically profound song..
Mzee Mwanakijiji Natumaini unazungumzia Ule wimbo unaimbwa kwenye kuabudu ktk semina za Mwakasege na si Angela ChibalonzaUle wastahili sifa za moyo wangu..nakuabudu ee Mungu wangu..nakuabudu Ee Yesu anapenda kuuimba Mwl Mwakasege.
Sijui muimbaj nani
The late Fanuel Sedekia....Manukato, Angela Chibalonza- Ebenezer, Emachichi- Iende mbele injili
Zile za Ulyankulu Barabara ya 13 haziingii kwenye kumi bora?
Mkuu hizo tena? Ninazo album zao nne..Kwa viumbe vyote, Mwenye Mamlaka, Heri Uliyesamehewa,Fahari ya vijana...kwa kweli wale watu...Zile za Ulyankulu Barabara ya 13 haziingii kwenye kumi bora?