Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,498
- 13,138
Naam timu nne toka Uingereza zilitinga robo fainali UEFA, na hatimaye mbili zinakwenda kucheza fainal baada ya kupindua meza kibabe (Comebacks) huku kule Europa league kuna team mbili toka Uingereza pia zilifika nusu fainali na kuna uwezekano mkubwa wa kukutana fainali baada ya kuongoza michezo yao ya Mwanzo.hii inatokea kama sijasahau baada ya miaka 11 toka timu za England zilipopambana katika kipute cha fainal, hivyo baada ya zaidi ya miaka mitano ndoo ya UEFA inaenda kutua pale Uingereza.
Kwenye ligi pia mambo ni moto mchaka mchaka wa kuukimbiza ubingwa wa EPL unaendelea pamoja na kubakiwa na mechi moja mkononi kwa kila timu bingwa ataamuliwa pale mechi zitakapomalizika rasmi!.jambo ambalo ni tofauti na league nyingine ambazo mshindi hujulikana mapema tena akisaliwa na mechi nyingi mkononi,Pep Guardiola amekiri kuwa hajawahi kukutana na ligi ngumu na yenye ushindani na upinzani mkali kama EPL ,🙌 bila kusahau kuwa ni league yenye matokeo yasiyotabirika ki urahisi kulinganisha na ligi nyingine, Wazee wa mikeka hili wanalitambua vyema 😁😁 Naam.