Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Tunaongelea ligi sio timu ya taifa ukisema hivyo basi brasil ingekuwa na ligi boraKila kitu kina mwanzo na mwisho wake, lingekuwa jambo la ajabu kwa timu za Spain kutawala soka la Ulaya kwa miaka na miaka.
Hii miaka kumi iliyopita hasa msimu wa 2008-2009 mpaka 2017-2018 soka la Ulaya lilikuwa katika umiliki wa klabu za Hispania pamoja na timu yao ya taifa. Ushahidi ni kama ifuatavyo:
Uingereza wanaanza taratibu kutawala soka la Ulaya hii ni kutokana uwekezaji mkubwa unaofanyika katika soka lao. Klabu za Spain zinaanza kushuka taratibu, Real Madrid wanajipanga, Barcelona nao wanatengeneza timu.Huu ni muda mzuri kwa timu za kiingereza kutawala soka la Ulaya.
- Mataji saba (7) ya klabu bingwa ya ulaya.
- Mataji sita (6) ya Kombe la washindi la ulaya.
- Mataji mawili ya Kombe la mataifa ya ulaya.
- Kombe la dunia moja (1).
- Wachezaji bora wa dunia na ulaya wametawala wao.
Tathmini: Kusema soka la Uingereza ni bora kuliko Spain ni mapema mno kwani kuna mafanikio yaliyofikiwa na klabu pamoja na timu ya taifa za Spain yavunjwe kwa hii miaka kumi inayokuja hapo tunaweza kuongea lugha moja!!!
Acha muda uongee!!!
hiyo ligi ina timu tatu tu zinazoleteana changamoto sio kama epl changamoto ni ya hali ya juu toka pale top 10
Alafu hiyo la liga ni juz halo uefa epl babaako kashabikia zamani hata barca alikuwa azijui
Mwisho ww ni wale wale wale wasioweza tazama getafe na genoa wakicheza alafu unadai ligi ni bora