The Best League in the world is back...Ligi kuu Uingereza ndiyo ligi bora zaidi kwa sasa duniani.

sarri 😁😁😁😁 ambaye ajawahi chukua kocha wa mwezi mimi ni chelsea damu ila si kwa sarr
Embu niambie mapungufu ya sarri in comparison kwa kocha mwengne ambaye sijamtaja ukitoa Klop, Chelsea wako kwenye semi finals ya Europa League and kwenye league wako nafasi ya nne, shida ya sarri ni nin?
 
Je haya matokeo ya msimu huu yatakuwa na muendelezo kwa msimu ijayo ama ni maji kupwa na kujaa? Maana spain wao kwenye michuano ya ulaya wamezoea kufanya vema..

Nyinyi ni mashabiki wa Millenium na wadandia treni kwa mbele. Spain imeanza kufanya vema miaka hii ya Millenium, before that ilikuwa ni Real Madrid tu tena miaka ya 1950s enzi za kina De Stefano na Puskas, mlikuwa hamjuwi hii? Timu yao ya taifa ilikuwa kama ya Bongo, yaani useless na Barca walikuwa vibonde miaka yote hiyo. Wameanza kutamba kuanzia miaka 10 iliyopita tu baada ya Messi kuingia hapo. Akiondoka Messi mtaona muziki wake, watarudi kule kule walikotoka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyinyi ni mashabiki wa Millenium na wadandia treni kwa mbele. Spain imeanza kufanya vema miaka hii ya Millenium, before that ilikuwa ni Real Madrid tu tena miaka ya 1950s enzi za kina De Stefano na Puskas, mlikuwa hamjuwi hii? Timu yao ya taifa ilikuwa kama ya Bongo, yaani useless na Barca walikuwa vibonde miaka yote hiyo. Wameanza kutamba kuanzia miaka 10 iliyopita tu baada ya Messi kuingia hapo. Akiondoka Messi mtaona muziki wake, watarudi kule kule walikotoka.
Baba lao "injini ya magoli" CR 7 unamsahauje ikiwa amechukua tuzo ya uchezaji bora wa dunia mara 4 akiwa hapo hapo Spain.

ACHA UNAFKI ILI UWE HURU.
 
N

Naona hukuiona barca ya gaucho
 
N

Naona hukuiona barca ya gaucho

Mkuu, usiwe mpuuzi. Nimekuambia Barca hii hii mnayoiona timu nzuri hivi sasa haikuwa hivyo miaka 12 iliyopita. Ondoa Gaucho, Ronaldinho, Klueivert, Figo sijuwi nani umtakaye, walikuwa vibonde Ulaya kwenye Champions League. Umeanza kufuatilia mpira wa Ulaya ama Barca lini? Msipende kufuata upepo.
 
Baba lao "injini ya magoli" CR 7 unamsahauje ikiwa amechukua tuzo ya uchezaji bora wa dunia mara 4 akiwa hapo hapo Spain.

ACHA UNAFKI ILI UWE HURU.

Sielewi kwanini uliacha kumaliza kunya na kuj hapa kuongea utumbo....CR7 ni Mreno na wala si Muhispania. Nimesema Spain haikuwa na timu nzuri ya taifa, walikuwa wachovu mno kama Taifa Stars....hujasoma huu mstari? Katika Champions League, ni Real Madrid tu ndiyo waliokuwa wanafanya vizuri Ulaya na si Barca. Barcelona imeaanza kuja juu miaka hii ya Messi kabla ya hapo walikuwa vibonde tu Ulaya watu wanajipigia kama hawana akili. Fuatilia rekodi zao Ulaya kabla ya Messi utaona. Haya sasa, rudia kunya maana shombo yako inakera humu mtandaoni.
 
Samahani mkuu umetumia vigezo gani?...maana hawa jamaa huangalia ligi bora kwa vikombe hasa vya ulaya na spain msimu huu timu zote zimechemka michuano ya ulaya?hili limekaaje?
Kwani kuanzia msimu wa mwaka 2012/13 hadi 2017/18, EPL timu zilikaaje? Spain nxt seaso they will be back
 
Kwani misimu mingine makocha wa kigeni hawakuwepo?
Naam uko sahihi kabisa mkuu, this is what they call 'Modern Football era', tunaona Total football ambayo imefanyiwa 'manipulation' na Guardiola, Gegenpressing ya Klopp, Sarriball chini ya Sarri.Timu nyng zinacheza Pressing game ki ukweli makocha wageni wamebadili kabisa falsafa ya soka la kiingereza, naam.
 
Back
Top Bottom