Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,498
- 13,138
- Thread starter
- #21
Naam ligi yetu kivyetu vyetu.😅Hata TPL ni bora. Inajitahidi sana kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam ligi yetu kivyetu vyetu.😅Hata TPL ni bora. Inajitahidi sana kwa kweli
Acha kufananisha EPL na vitu vya kijinga [emoji3][emoji3][emoji3]Hata TPL ni bora. Inajitahidi sana kwa kweli
😁😁😁 uhuru wa maoni, naam.Acha kufananisha EPL na vitu vya kijinga [emoji3][emoji3][emoji3]
Spain watabaki kuwa wababe wakutoa ligi bora na ubora wake hauna mfano, kufeli swali moja hakufanyi aliefeli maswali kumi kuwa bora!
Embu niambie mapungufu ya sarri in comparison kwa kocha mwengne ambaye sijamtaja ukitoa Klop, Chelsea wako kwenye semi finals ya Europa League and kwenye league wako nafasi ya nne, shida ya sarri ni nin?sarri 😁😁😁😁 ambaye ajawahi chukua kocha wa mwezi mimi ni chelsea damu ila si kwa sarr
Naam umenena vyema.byeLigi inayoonyeshwa bure pia watu hawaitaki! Ligi tamu ni ya England
Ligi bora spain tu na haitopingika.
spainThink again.
Je haya matokeo ya msimu huu yatakuwa na muendelezo kwa msimu ijayo ama ni maji kupwa na kujaa? Maana spain wao kwenye michuano ya ulaya wamezoea kufanya vema..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyinyi ni mashabiki wa Millenium na wadandia treni kwa mbele. Spain imeanza kufanya vema miaka hii ya Millenium, before that ilikuwa ni Real Madrid tu tena miaka ya 1950s enzi za kina De Stefano na Puskas, mlikuwa hamjuwi hii? Timu yao ya taifa ilikuwa kama ya Bongo, yaani useless na Barca walikuwa vibonde miaka yote hiyo. Wameanza kutamba kuanzia miaka 10 iliyopita tu baada ya Messi kuingia hapo. Akiondoka Messi mtaona muziki wake, watarudi kule kule walikotoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baba lao "injini ya magoli" CR 7 unamsahauje ikiwa amechukua tuzo ya uchezaji bora wa dunia mara 4 akiwa hapo hapo Spain.Nyinyi ni mashabiki wa Millenium na wadandia treni kwa mbele. Spain imeanza kufanya vema miaka hii ya Millenium, before that ilikuwa ni Real Madrid tu tena miaka ya 1950s enzi za kina De Stefano na Puskas, mlikuwa hamjuwi hii? Timu yao ya taifa ilikuwa kama ya Bongo, yaani useless na Barca walikuwa vibonde miaka yote hiyo. Wameanza kutamba kuanzia miaka 10 iliyopita tu baada ya Messi kuingia hapo. Akiondoka Messi mtaona muziki wake, watarudi kule kule walikotoka.
[emoji23]Acha kufananisha EPL na vitu vya kijinga [emoji3][emoji3][emoji3]
Nafasi ya 3 sio ya 4Embu niambie mapungufu ya sarri in comparison kwa kocha mwengne ambaye sijamtaja ukitoa Klop, Chelsea wako kwenye semi finals ya Europa League and kwenye league wako nafasi ya nne, shida ya sarri ni nin?
Naona hukuiona barca ya gauchoNyinyi ni mashabiki wa Millenium na wadandia treni kwa mbele. Spain imeanza kufanya vema miaka hii ya Millenium, before that ilikuwa ni Real Madrid tu tena miaka ya 1950s enzi za kina De Stefano na Puskas, mlikuwa hamjuwi hii? Timu yao ya taifa ilikuwa kama ya Bongo, yaani useless na Barca walikuwa vibonde miaka yote hiyo. Wameanza kutamba kuanzia miaka 10 iliyopita tu baada ya Messi kuingia hapo. Akiondoka Messi mtaona muziki wake, watarudi kule kule walikotoka.
N
Naona hukuiona barca ya gaucho
Baba lao "injini ya magoli" CR 7 unamsahauje ikiwa amechukua tuzo ya uchezaji bora wa dunia mara 4 akiwa hapo hapo Spain.
ACHA UNAFKI ILI UWE HURU.
Kwani kuanzia msimu wa mwaka 2012/13 hadi 2017/18, EPL timu zilikaaje? Spain nxt seaso they will be backSamahani mkuu umetumia vigezo gani?...maana hawa jamaa huangalia ligi bora kwa vikombe hasa vya ulaya na spain msimu huu timu zote zimechemka michuano ya ulaya?hili limekaaje?
Naam uko sahihi kabisa mkuu, this is what they call 'Modern Football era', tunaona Total football ambayo imefanyiwa 'manipulation' na Guardiola, Gegenpressing ya Klopp, Sarriball chini ya Sarri.Timu nyng zinacheza Pressing game ki ukweli makocha wageni wamebadili kabisa falsafa ya soka la kiingereza, naam.