The Best League in the world is back...Ligi kuu Uingereza ndiyo ligi bora zaidi kwa sasa duniani.

Tunaongelea ligi sio timu ya taifa ukisema hivyo basi brasil ingekuwa na ligi bora

hiyo ligi ina timu tatu tu zinazoleteana changamoto sio kama epl changamoto ni ya hali ya juu toka pale top 10

Alafu hiyo la liga ni juz halo uefa epl babaako kashabikia zamani hata barca alikuwa azijui

Mwisho ww ni wale wale wale wasioweza tazama getafe na genoa wakicheza alafu unadai ligi ni bora
 

Usisahau kuwa pia timu za Italy especially AC Milan ilitesa sana miaka ya 90s
Enzi za the Great Dutch Trio pale Milan hakuna timu yoyote ya Spain wala England iliyofurukuta.
Kutesa kwa zamu
 
Samahani mkuu umetumia vigezo gani?...maana hawa jamaa huangalia ligi bora kwa vikombe hasa vya ulaya na spain msimu huu timu zote zimechemka michuano ya ulaya?hili limekaaje?
mbona spain wamechukua uefa na europe mara 3 mfululizo kupitia madrid na sevile, lakin uingeleza mwaka huu tu wanachukua uefa na europe iwe bora zaid ya spain, acha wenge,

spain ligi bora
 
mbona spain wamechukua uefa na europe mara 3 mfululizo kupitia madrid na sevile, lakin uingeleza mwaka huu tu wanachukua uefa na europe iwe bora zaid ya spain, acha wenge,

spain ligi bora
Aisee mbna nimeeleweka mkuu angalia timu zinazokutana fainali hebu nikumbushe mwaka ambao timu toka spain zilikutana zenyew kwa zenyew katika fainali hizi za Europa na Uefa respectively.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…