He's multi talentedNimetizima movie zake nyingi nimefahamu kuwa jamaa ni mzuri sana kwenye film za fantasy ila action sio mzuri sana
Pia kwenye animation anafanya poa
Nimevutiwa haswa na
Rango
Allice in the wonderland
Pirates zote
Dead man pia the tourist
Zunguka kote rudi ila kwenye the pirates of the Carribean ndipo uwa anaua sana.
Lone rangers nako sana, ile the tourist alikuwa so cool jamaa ana kipaji sana ila kwenye pirates of the carrebean napenda sana makuzi yake na maneno yake ya kiboya