The Best of Johnny Depp: Muvi bora alizocheza Captain Jack

The Best of Johnny Depp: Muvi bora alizocheza Captain Jack

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Kwa wapenzi wa muvi za Fantasy, Mystery and Adventure basi jina la Johnny Philip Depp almaarufu Captain Jack Sparrows 55, Sio geni kwenu. Kacheza muvi kubwa nyingi duniani ambazo zimezalisha zaidi ya USD Dollar 8 Billions (Mkumbuke Utajiri wa Abducted billionaire "MO" ni 2USD Billion)
Muvi ya Nightmare in Elm street ndo ilimpatia umaarufu zaidi Na kuchukuliwa Na makampuni makubwa kucheza picha bora Na zilizofanikiwa sana. (Hasa kampuni ya Disney Film)

Enjoy!

FB_IMG_15401438493177578.jpeg
FB_IMG_15401438539693840.jpeg
FB_IMG_15401438616322107.jpeg
FB_IMG_15401438728877402.jpeg
FB_IMG_15401438683013452.jpeg
FB_IMG_15401438779130013.jpeg
FB_IMG_15401438978647492.jpeg
FB_IMG_15401438903933950.jpeg
FB_IMG_15401438850043241.jpeg
 
Alice ina wonderland iligonga 1B$ na uchafuu...
FB_IMG_15401440024777995.jpeg
FB_IMG_15401440162812431.jpeg
FB_IMG_15401440255939210.jpeg
FB_IMG_15401440527885897.jpeg
FB_IMG_15401440400918156.jpeg
FB_IMG_15401440342566386.jpeg
FB_IMG_15401440731142175.jpeg
FB_IMG_15401440669826993.jpeg
FB_IMG_15401440599947473.jpeg
FB_IMG_15401440936933310.jpeg
FB_IMG_15401440875252035.jpeg
FB_IMG_15401440813789978.jpeg
 
Duh!!! Ni kazi ngumu sana kupata tuzo za Oscar??
 
Namkumbuka kwenye 21 jump street wakati uleeeee ITV wanaonyesha baadae movie alicheza na DiCaprio akiwa bwana mdogo akili zake km chizi. Mama yao mnene sana anapokufa waahamua kumchoma moto ndani ya nyumba yao maana alikuwa mzito sana.
Sikumbuki jina LA ile movie.
 
Dah dah
tangu nianze kuangalia hakuna mtu anayeongea vizuri kama captain jack Sparrow
labda tony stark tu anaweza akamchalenge
ana akili nyingi mpaka zinamwagika
 
Dah dah
tangu nianze kuangalia hakuna mtu anayeongea vizuri kama captain jack Sparrow
labda tony stark tu anaweza akamchalenge
ana akili nyingi mpaka zinamwagika
Zikinge nawe uwe Na japo theruthi ya ubongo wake
 
Nimetizima movie zake nyingi nimefahamu kuwa jamaa ni mzuri sana kwenye film za fantasy ila action sio mzuri sana

Pia kwenye animation anafanya poa

Nimevutiwa haswa na
Rango
Allice in the wonderland
Pirates zote
Dead man pia the tourist
 
He's multi talented
 
Zunguka kote rudi ila kwenye the pirates of the Carribean ndipo uwa anaua sana.
Lone rangers nako sana, ile the tourist alikuwa so cool jamaa ana kipaji sana ila kwenye pirates of the carrebean napenda sana makuzi yake na maneno yake ya kiboya
 
No body move I lost my brain
 
Back
Top Bottom