Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,435
Mada kama hz wanajadil watu walio na upeo mdogo wa kufikiria
Nakuunga mkono. Ningekuwa moderator ningempiga ban sasa hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada kama hz wanajadil watu walio na upeo mdogo wa kufikiria
Daaaaah kwl akili ni nywele kil m2 anazake....hauuwez kumzm wew unasem nn wew nyau kwl..... Vilaz wte ndo wanatupw hko kw ufupi wew umechagulia chaguo lako la mwsh udsm imekutem ardhi ikakutem sua ikakutem mzumbe ikakutem atimae ukaangua saut mikon salam afu unasem nn
umeonae wamemtema kwote wanakochukua gpa nzuri,inaonekana anajipa moyo kwa kukosa UD,MU,SUA,ARU,DOM,
sasa kaka Mzumbe,,UDOM navyo vyuo? Vyuo cutt off point 2.5 kama UDOM uvilinganishe na chuo cha cutt off point 4.5 kaka hicho mzumbe cutt off point 4 sasa kipi bora?
Ngoja Mpigamsuli aone..
hata UDSM comp engineering cut off ni 2.0 lakini angalia mtu wa mwisho ana point ngap? dogo hizo cut off point zisikuhadae,SAUT ni chuo cha kata,kazi yenu kupiga picha za uchi
Mwambie babako ajenge chake cha kitaifa()
St. Augustine University of Tanzania is the best university in town, the best university inTanzania and the best university in the world at large
you are luck to be here
"We are Building The City Of GOD"
babaangu hata hajui kama kuna chuo kinaitwa SAUT.
yeye anajua UDSM tu kwa sababu alisoma hapo,una jengine?
Siku mtoto akikwambia baba nataka nguo ya sikukuu ndo utakuwa umekua sasa hivi bado unakula ugari wa shikamoo huwezi ijua dunia ya pili, anyway wenzako tumesoma hapo na tunapiga dili ndefu huku serikalini.
Maskin jukwaa limeingiliwa na virus,ivi vyuo havijafunguliwa1 awa nyoya wawe bze na vijitest!
babaangu hata hajui kama kuna chuo kinaitwa SAUT.
yeye anajua UDSM tu kwa sababu alisoma hapo,una jengine?
hata UDSM comp engineering cut off ni 2.0 lakini angalia mtu wa mwisho ana point ngap? dogo hizo cut off point zisikuhadae,SAUT ni chuo cha kata,kazi yenu kupiga picha za uchi
wa kijijini huko hata 'A' hajui ndo maana anaijua UDSM tu unamwaibisha mshua wako
usitake kuniaminisha uongo au unafikiri sikupitia selection zao..? SAUT ni best hutaki jinyee..
sikulazimishi lakini ukweli unaujua na najua sio mapenzi yako kwenda huko ila matokeo yako ya kuungaunga ndio yamekupeleka huko