the best UNIVERSITY in TANZANIA

Status
Not open for further replies.
 
we ----- baba yangu kasoma statistics UDSM na saiv yupo TRA head quarter ni bussiness intelligence officer na pia mwaka jana amechaguliwa katika bodi ya POSTA ,muulizie USSI HAMZA HUSSEIN ,.chz wewe unaesoma kata TRA Utakusikia kwenye bomba

TRA ya wapi mshamba tu hajui kusoma kama wewe..
Kwanza wewe inaonekana mboga ya wahadhiri tu mpaka upgwe mambo ndo ubwebwe ili usidisco.. Bata mzinga weye
 
TRA ya wapi mshamba tu hajui kusoma kama wewe..
Kwanza wewe inaonekana mboga ya wahadhiri tu mpaka upgwe mambo ndo ubwebwe ili usidisco.. Bata mzinga weye

hata ukigoogle jina lake unamuona,sio wewe kaa mavi ulietoka kwenu huko kijijini unakwenda kusoma
SAUT..duuh,pole..dogo usiseme lolote bout my dad coz ameshakua mhadhiri mzumbe na ifm before hajakwenda TRA,utaishia kubwabwaja tu humu baadae unakua karani kwenye serkali ya kijijini kwenu.
 
Hivi mzee wako anahusikaje hapa mpaka umuingize humu.
 
Mnajihangaisha tu Mada za huyu ni kuziignore atashika adabu
 
wewe mi mtoto wa jijini tangu niko vidudu ka hujui nimepga pale thaqaafa kijijini kwa baba yako mshamba yule
 
sasa kaka Mzumbe,,UDOM navyo vyuo? Vyuo cutt off point 2.5 kama UDOM uvilinganishe na chuo cha cutt off point 4.5 kaka hicho mzumbe cutt off point 4 sasa kipi bora?

mh mzumbe ni 4?we unauhakika?au ulitoswa mzumbe.kwa taarifa yako mwaka hu ndo wamechukua had 4.5,labda hyo 4 ni kwa sayansi.
 
wewe mi mtoto wa jijini tangu niko vidudu ka hujui nimepga pale thaqaafa kijijini kwa baba yako mshamba yule

baba yangu na ushamba wake anamake money tena sio za wizi anatumia ujuzi wakey,sasa thaqafa si shule la kifala tu lile,kumbe umesomea mwanza na chuo mwanza sasa wewe si ubadilishe mazingira uende hata UDOM sio unavua dagaa tu huko.
 
hata UDSM comp engineering cut off ni 2.0 lakini angalia mtu wa mwisho ana point ngap? dogo hizo cut off point zisikuhadae,SAUT ni chuo cha kata,kazi yenu kupiga picha za uchi

nazan tena wanaandika cut point 4.5 lakn wanachukua mwisho 5.5
 
baba yangu na ushamba wake anamake money tena sio za wizi anatumia ujuzi wakey,sasa thaqafa si shule la kifala tu lile,kumbe umesomea mwanza na chuo mwanza sasa wewe si ubadilishe mazingira uende hata UDOM sio unavua dagaa tu huko.

kumbe nabishana na kakahaba ka UDOM basi ndo maana
 
ka hujui kaa kimya sio unajifanya unajua kumbe hujui lolote uliza ueleweshwe

wewe ndio hujui,mzumbe statistics waliandika cut off 2.0 na wamechukua 1 na 2 tupu,msijisifie ujinga,hicho chuo chenu hata hapo nairobi hawakijui,bora kIU kipo juu
 
mh mzumbe ni 4?we unauhakika?au ulitoswa mzumbe.kwa taarifa yako mwaka hu ndo wamechukua had 4.5,labda hyo 4 ni kwa sayansi.

niombe chuo cha wazee kile... Point nne chache sana uliza ninazo ngapi ujibiwe sio ulopoke
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…