usitake kuniaminisha uongo au unafikiri sikupitia selection zao..? SAUT ni best hutaki jinyee..
sikulazimishi lakini ukweli unaujua na najua sio mapenzi yako kwenda huko ila matokeo yako ya kuungaunga ndio yamekupeleka huko
Acha kujishaua wewe mtoto wa kike nani kakuuliza babako anafanya kazi wapi?