AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
una uhakika kwamba wanaosoma SAUT wamebebwa na somo la divinity? , je wakina juma,ali, asha,awadhi,salum,issa,hussein ambao wanasoma SAUT walisoma divinity?? ,wewe wa UDSM unakipi kikubwa kwa kumdharau MTU WA SAUT?
hahaha,aseme uko saut anasoma nin
dats bulls......t
haya umeshinda mama ila reasoning zako zinaonesha wewe bado sana kwangu ukibisha ni_Pm nikwambie kitu baba ako anikabidhi kabisa nikuoe
una uhakika kwamba wanaosoma SAUT wamebebwa na somo la divinity? , je wakina juma,ali, asha,awadhi,salum,issa,hussein ambao wanasoma SAUT walisoma divinity?? ,wewe wa UDSM unakipi kikubwa kwa kumdharau MTU WA SAUT?
Unapoint zaidi ya nane yaani ii.10? kwa division hii shule kama taboraboys,mzumbe,ilboru umefeli kabisaakijana hiyo three naisikia tu.so huko usiingie kabisa.sababu nna point zaid ya nane ndo maana nimepewa 1st choice yangu.we una chin ya 4 ndo maana upo huko
ukishafahamu iweje sasa? Nasoma MAANDISHI kwani wewe unasoma nini?
kijana hiyo three naisikia tu.so huko usiingie kabisa.sababu nna point zaid ya nane ndo maana nimepewa 1st choice yangu.we una chin ya 4 ndo maana upo huko
kumbe hata hujui saut point ngapi bana basi ndo maana uko chuo cha 2.5
Erick zeph Stanley acha matusi leta fact
we mpiga msuli unaleta ubishi sasa,nimemwambia huyu kama kabebwa na pass ya duvinity,na hao kina issa na awadh wamebebwa na pass za islamic
mpiga msuli leo unawatetea SAUT..haya jamn na pia unaikubali mada hio hapo juu.hapana mkuu umekosea kabisa nina rafiki zangu hawajasoma divinity wala somo la islamic lakini wapo SAUT Na walikuwa na i.9 mpaka ii.12
Erick zeph Stanley acha matusi leta fact
hapana mkuu umekosea kabisa nina rafiki zangu hawajasoma divinity wala somo la islamic lakini wapo SAUT Na walikuwa na i.9 mpaka ii.12
haya kaka pamoja sana ila hapo st john kuna washkaji zangu wote wana 3 za 15 ka vipi mkawakilishe mkuu
huyo erick amekiri yeye divinity imembeba
Unapoint zaidi ya nane yaani ii.10? kwa division hii shule kama taboraboys,mzumbe,ilboru umefeli kabisaa
ilikua hapo zaman,saivi hizo shule div 2 na 3 zipo za kumwaga tu,angalia matokeo utaamini ninayokwambia.
huyo erick amekiri yeye divinity imembeba
kijana mi cpo st john, nipo morogoro chuo kikuu.sasa muulize mtu yeyote atakwambia morogoro kuna chuo gan anachokijua.atakachokitaja cha kwanza ndio nipo hicho.na nlikuwa na cut point kubwa.zaid ya 8.umesikia
Unapoint zaidi ya nane yaani ii.10? kwa division hii shule kama taboraboys,mzumbe,ilboru umefeli kabisaa
ilikua hapo zaman,saivi hizo shule div 2 na 3 zipo za kumwaga tu,angalia matokeo utaamini ninayokwambia.
Nazungumzia miaka yetu sisi unakuta i.70, ii.30 ii.20 iv.0
Kama ni hivyo basi fanya hivi, mpige madongo yeye erick binafsi na sio SAUT