AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
una uhakika kwamba wanaosoma SAUT wamebebwa na somo la divinity? , je wakina juma,ali, asha,awadhi,salum,issa,hussein ambao wanasoma SAUT walisoma divinity?? ,wewe wa UDSM unakipi kikubwa kwa kumdharau MTU WA SAUT?
mpigamsuli leo upo vizuri.naona upo kistaarabu.au hawajagusa muccobs?