The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Habari za wakati huu wakuu,
Kwanza kabla yayote labda nitamke tu rasmi kwamba mimi ni muumini wa dini ya kikristu na dhima ya uzi huu sio ku-criticize our faith (for those Christians) Bali ningependa tuweze kushare mawazo kusudi kung'amua hasa kweli ni ipi. Baada ya kusoma nyuzi kadhaa za mkuu Likud na na comments za mkuu Kiranga, nilijaribu kutafuta vitabu kadhaa niweze japo basi kupata mwanga kidogo kuhusu ni ipi ni kweli. Kitabu cha The bible fraud (hivi vyote vimeandikwa na Tony Bushby) sikufanikiwa kukipata ila hiki cha secret in the bible nimefanikiwa kukipata na ndio niko mbioni kumalizia. Aisee,
Ukisoma hiki kitabu kuna shocking facts (truth) ambazo kiukweli zimenishtua hadi sasa moyo wangu hauna amani. Imagine what you have been made to believe turns out to be fake. Kwenye biblia kuna siri nyingi sana na according to bwana bushby, mtu aliyeitwa Francis Bacon ambae ni moja ya magenius waliowahi kutokea duniani, ambae pia ni among the earliest initiates (masonry) ndie aliyepewa jukumu LA kuandika biblia ya kwanza na king jes ambapo humo aliencode siri nyingi sana ambazo inabidi uwe enlightened kuweza kuzifahamu. Pia anasema Jesup christ had a twin brother na hakuuliwa kwa crucifixion bali he was stoned to death baada ya kukamatwa na hatia ya kuiba the ancient secrets from Egypt na ndipo alipoanza kuperform MIUJIZA. hizi ni baadhi ya screenshots za baadhi ya pages Kwenye kitabu hiko...
Screenshot_2018-05-10-10-52-06.jpg

Screenshot_2018-05-09-19-19-53.jpg

Screenshot_2018-05-09-19-00-48.jpg

Naomba tuweze kujadili swala hili kwa marefu na mapana wakuu lengo ni kugain knowledge wala sio kukashifiana kiimani. Mods pls Naomba msiuunganishe huu uzi na nyuzi zingine na kwa atakae hitaji hiki kitabu nitampatia.
 
dini zote zimeundwa kwenye misingi ya stori za uongo na uhalisia wa kufoji sio ukristo ni pamoja na uislamu na uhindu budha na baal na dini zote uanzojua so hunaja haja ya kuhangaika na ukristo tu hata wayahudi visa vyao vingi ni feki na wanakiri kabisa hata wao
 
uzuri duniani ukitaka hata phd ya kupotoshwa ipo. usijipotoshe mkuu kwa kiu ya kutafuta uintellijensia.

"Satan... Selects those whose souls are athirst (Very eager to get something) for something new and strange, and who are ever ready to drink at any fountain that may present itself''

E.G White.
"Selected messages Vol 2, Chapter 2
 
WEWE UNAAMINI HIVYO VITABU AU BIBLIA? CHUKUA HICHO UNACHOKIAMINI.SIYO LAZIMA KILA MOJA AAMINI KITABU UNACHOAMINI WEWE. KAMA UNAAMINI KILICHOANDIKWA KATIKA BIBLIA KISHIKO HICHO AU KAMA UNAAMINI HIVO VITABU VITABU VINAVYOSEMA YESU ALIKUFA KWA KUPIGWA MAWE AKIWA NA MIAKA 63 KISHIKILIE HICHO. SIYO LAZIMA KILA MOJA AAMINI VILE UNAVYOAMINI WEWE.
 
Habari za wakati huu wakuu,
Kwanza kabla yayote labda nitamke tu rasmi kwamba mimi ni muumini wa dini ya kikristu na dhima ya uzi huu sio ku-criticize our faith (for those Christians) Bali ningependa tuweze kushare mawazo kusudi kung'amua hasa kweli ni ipi. Baada ya kusoma nyuzi kadhaa za mkuu Likud na na comments za mkuu Kiranga, nilijaribu kutafuta vitabu kadhaa niweze japo basi kupata mwanga kidogo kuhusu ni ipi ni kweli. Kitabu cha The bible fraud (hivi vyote vimeandikwa na Tony Bushby) sikufanikiwa kukipata ila hiki cha secret in the bible nimefanikiwa kukipata na ndio niko mbioni kumalizia. Aisee,
Ukisoma hiki kitabu kuna shocking facts (truth) ambazo kiukweli zimenishtua hadi sasa moyo wangu hauna amani. Imagine what you have been made to believe turns out to be fake. Kwenye biblia kuna siri nyingi sana na according to bwana bushby, mtu aliyeitwa Francis Bacon ambae ni moja ya magenius waliowahi kutokea duniani, ambae pia ni among the earliest initiates (masonry) ndie aliyepewa jukumu LA kuandika biblia ya kwanza na king jes ambapo humo aliencode siri nyingi sana ambazo inabidi uwe enlightened kuweza kuzifahamu. Pia anasema Jesup christ had a twin brother na hakuuliwa kwa crucifixion bali he was stoned to death baada ya kukamatwa na hatia ya kuiba the ancient secrets from Egypt na ndipo alipoanza kuperform MIUJIZA. hizi ni baadhi ya screenshots za baadhi ya pages Kwenye kitabu hiko...
View attachment 775699
View attachment 775704
View attachment 775706
Naomba tuweze kujadili swala hili kwa marefu na mapana wakuu lengo ni kugain knowledge wala sio kukashifiana kiimani. Mods pls Naomba msiuunganishe huu uzi na nyuzi zingine na kwa atakae hitaji hiki kitabu nitampatia.
Kama kiko kwenye softcopy tafadhali naomba unitumie..
Tuje tupige mzigo
 
Sasa huyo twin brother wa YESU ametokea wapi?
Na kufa kwa kupigwa mawe haiendani na mafundisho ya "ufufuko" wa YESU... Kuna maana ya kibiblia kwa nini alisulubishwa.. Na kwa nini alifufuka..
 
Mimi ni mkristo ila huwa sipendi kushikiwa akili zangu huwa ninapenda kufuatilia mambo kuna ishu nyingi sana nyuma ya pazia ambazo wakristo wengi huwa hatufahamu au tunaamua kushupaza shingo ishu kama za holy grail n.k .............kubali kutawaliwa kimwili ila sio kiakili ,wakristo tunapaswa kusoma vitabu vingi na si kuishia kukaririshwa bible tu kuna watu wameandika facts nyingi kuhusiana na hii faith............Hizi ni dini za kigeni hivyo tusiwe watumwa kiasi cha kutofanya tafiti za maandiko ya hii imani
 
uzuri duniani ukitaka hata phd ya kupotoshwa ipo. usijipotoshe mkuu kwa kiu ya kutafuta uintellijensia.

"Satan... Selects those whose souls are athirst (Very eager to get something) for something new and strange, and who are ever ready to drink at any fountain that may present itself''

E.G White.
"Selected messages Vol 2, Chapter 2

Kumbeee
 
Mi nilisha acha kutambo tu kuingia kwenye misikiti Na makanisa, ukweli tuna leta shobo kwenye imani za watu, imani gani hadi uitwe omary au John? Ukane asili ya ukoo Na mababu zako, sijaona mzungu anaitwa gwahinda, kundabatwale, au katulebe hivyo imani nachukulia kama ni ukoloni mbaya sana.
 
Habari za wakati huu wakuu,
Kwanza kabla yayote labda nitamke tu rasmi kwamba mimi ni muumini wa dini ya kikristu na dhima ya uzi huu sio ku-criticize our faith (for those Christians) Bali ningependa tuweze kushare mawazo kusudi kung'amua hasa kweli ni ipi. Baada ya kusoma nyuzi kadhaa za mkuu Likud na na comments za mkuu Kiranga, nilijaribu kutafuta vitabu kadhaa niweze japo basi kupata mwanga kidogo kuhusu ni ipi ni kweli. Kitabu cha The bible fraud (hivi vyote vimeandikwa na Tony Bushby) sikufanikiwa kukipata ila hiki cha secret in the bible nimefanikiwa kukipata na ndio niko mbioni kumalizia. Aisee,
Ukisoma hiki kitabu kuna shocking facts (truth) ambazo kiukweli zimenishtua hadi sasa moyo wangu hauna amani. Imagine what you have been made to believe turns out to be fake. Kwenye biblia kuna siri nyingi sana na according to bwana bushby, mtu aliyeitwa Francis Bacon ambae ni moja ya magenius waliowahi kutokea duniani, ambae pia ni among the earliest initiates (masonry) ndie aliyepewa jukumu LA kuandika biblia ya kwanza na king jes ambapo humo aliencode siri nyingi sana ambazo inabidi uwe enlightened kuweza kuzifahamu. Pia anasema Jesup christ had a twin brother na hakuuliwa kwa crucifixion bali he was stoned to death baada ya kukamatwa na hatia ya kuiba the ancient secrets from Egypt na ndipo alipoanza kuperform MIUJIZA. hizi ni baadhi ya screenshots za baadhi ya pages Kwenye kitabu hiko...
View attachment 775699
View attachment 775704
View attachment 775706
Naomba tuweze kujadili swala hili kwa marefu na mapana wakuu lengo ni kugain knowledge wala sio kukashifiana kiimani. Mods pls Naomba msiuunganishe huu uzi na nyuzi zingine na kwa atakae hitaji hiki kitabu nitampatia.
Haya yaliyoandikwa kwenye hiki kitabu,umeyadhibitisha vipi kuwa ni ya kweli?
Na kama ni kwa kuamini tu hizo hoja,walizochambua,je umepata Maelezo mengine kuhusu hizo hoja,kutoka kwa wanaoifahamu history ya bible na ukristo?

Bila hata kusoma hivyo vitabu vinavyoonyesha mapungufu ya bible,ungebahatika kuhudhuria mihadhara ya dini,ambapo wabobezi wa dini ya kiislam wanaichambua bible,na kuonyesha mapungufu take,sasa HV ungekuwa unaitwa abdul,au Ali,

Mwanzoni,niripohudhuria,na nikasikia wanavyoonyesha mapungufu ya bible,nirikwazika sana,nikasema nini hiki nirichokuwa na amini,baadae nikahudhuria mhadhara wa wakristo,wakajibu hoja zote zilizonikwaza,na wakaonyesha mapungufu ya msaafu,hapo nikawa njia panda,sasa ipi Dini au kitabu sahihi kati ya bible na msahafu,?
Mkuu inategemea umesimama wapi,unaweza kuiona bilauli,imejaa nusu,au IPO tupu nusu,
Kila lililoandikwa kwenye bible lina Maelezo yake sahihi,usiyumbishwe na hizo story
 
Back
Top Bottom