chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Unamefahamu nini maana ya "head of a family","old man,"!?? kama hufahamu maana yake "Kiongozi"acha uhuni sheikh manake mzee "old man"
Word Origin and History for sheik. n. "head of an Arab family," also "head of a Muslim religious order," 1570s, from Arabic shaykh "chief," literally "old man," from base of shakha "to grow old." Popularized by "The Sheik," novel in Arabian setting by E.M.
tembelea hapa chini.
the definition of sheik
ndio matatizo ya kutafsiri neno kwa neno,na hilo ndio tatizo iliyoifanya Biblia itafsiriwe kimakakosa,...
Rabii maana yake kiongozi,mtu anaeongoza wenzake ikiwa ki dini ikiwa ki uwezo,ikiwa kielimu,,kwa ufupi ni anaeheshimiwa katika jamiii
Rabbi
Jewish scholar or teacher, especially one who studies or teaches Jewish law.
A person appointed as a Jewish religious leader.
Sheikh
An Arab leader, in particular the chief or head of an Arab tribe, family, or village.
A leader in a Muslim community or organization.
Ukiangalia tafisiri za haya maneno Rabii na Sheikh utaona kuwa yanafanana,Rabii na Sheikh ni mtu aneongoza wenzake katika jamii,nimekwambia kuwa IQ yako ndogo,..inabidi uikiuze kwa kusoma vitabu mbali mbali,imebainisha ninayoyasema ni kweli..
Tafisi kama hizi ndio zilizoleta matatizo kwenye,kuitafsiri Biblia,kwenye Biblia wagiriki wameandika neno "Lord" kwahiyo mnatafsiri moja kwa moja "Bwana" wakati imeamanishwa "Mungu",