The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

Mkuu naomba unijaalie hicho kitabu tafadhali!
 
Well said mkuu

Alafu kuna suala moja huwa najiuliza sana
Ukiacha bible iliyoandikwa vatican na roman catholic,,..je ile injili ya kiebrania iliyoletwa kwa ajili ya yesu na kuandikwa na wanafunzi wake iko wapi na kwa nini tupewe tafsiri ya biblia iliyoandikwa na watu??

Kwa nini tusifundishwe injili yenyewe ya kiebrania na sio tafsiri??
 

Ur talking about two different things. Rabbi Jesus is not Jesus Christ of Nazareth. That ur Rabbi Jesus might had been stoned to death as ur document claims but The Nazarene was crucified. Dont call God's wrath upon ur head by keep on re circulating false information
 
Ikifahamika alifanya nini na alikuwa wapi Yesu wa Nazareth wakati akiwa na umri kati ya miaka 13 na 29, itakuwa safi sana. Haiwezekani useme Yesu wa Nazareth alikuwa mtu ila hakutenda dhambi wakati kipindi cha miaka hiyo huna taarifa yeyote.
 
I don't circulate false prophecy, I just narrated what was written in the book
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, hivi haya 'maarifa' yanayozungumziwa hapa ni yapi? What if kuna watu ambao tayari wameshayang'amua haya maarifa?
 
Acha kujipa hope dini ni fake nenda kasome historia ndio utajua kama ni fake au sio fake hayo maisha unayoyaishi ni dini tosha sasa tafuta vitabu vya din usome utajua mapungufu yako katika kufikia dini kamili na kweli
 
Hakuna ufake katika dini kishughuilishe hicho kichwa chako kujua dini hayo maisha unayoishi ni dini tupu kiasili soma historia ndio utajua dini ni nini na we upo wapo katika dini sahihi yaani ni sawa na mtu anaenfa choni kujisaidia halafu unasema choose ni fake
 
Biblia sehemu ile ya kwanza yaan maandishi ya kiebrania pamoja na kiaram yamekuepo kwa kwa maelfu ya miaka sehemu ya pili ya maandishi ya kigiriki yamekuepo karibu miaka 2000 sasa na wachimbuzi wengi wa vitu vya kale wanazidi kuchimbua vitu vingi vya zamani sana vyenye habari fulani zinazounga mkono masimulizi ya biblia.kufikia ss kuna uthibitisho mwingi wa usahihi wa masimulizi ya biblia kuliko kitabu kingine chochote cha kale...tunawezaje kuamini kitabu cha juzi tu cha Tony Bushby ambacho masimulizi yake hayawezi kuthibitishwa pasipo kuacha shaka..kwa kifupi kwa maoni yangu masimulizi ya Tony Bushby ambayo anaaminisha watu kuwa ni sahihi ni hadithi za kutungwa kwa usanii kwa ustadi mkubwa lakn hazina uthibitisho.
 
Nakumbuka Kipindi tuko school (seminary) Baba wa kiroho (Spiritual Director) alituambia kuwa sio story zote zilizopo kwenye Biblia ni za kweli
Nyingne ni hadithi tu za kutunga akatoa mfano wa creation accounts akasema siyo story ya kweli kwamba Mungu aliumba dunia kama inavyoelezwa kwenye Biblia
Alisema story ya uumbaji ilikua ni myths tu walizokua nazo Wayahudi Ila sio story ya kweli
 
wewe ndio hutumii akiri ungekuwa na akiri ungejua nilishafuatilia u feki wa dini kuja kujibashana na mimi unaonyesha na upeo mdogo wa kufikiri grow up
 
Ndg yangu unajiuliza sn kwasababu huna ujuzi wa kutosha kuhusu biblia na historia ya biblia..leo ntakusaidia jambo moja hiyo unayoita injili ya kiebrania ilioletwa kwa ajili ya Yesu haikuandikwa kwa lugha ya kiebrania ila iliandikwa kwa kigiriki cha kawaida ambacho kiliitwa koine....then mimi sio mkatoliki ila biblia haikuandikwa vatican wala roman catholic hawajaandika biblia ila wametafsiri biblia kuna tofauti ya kuandika biblia na kutafsiri biblia.ndio sababu kuna tafsiri nyingi za biblia kama vile union version,amercan standard version,king james version and so on.kuhusu biblia ambazo hazijatafsiriwa zipo hata mm ninayo yenye maandishi ya kigiriki sehemu ya agano jipya lakin hata hivyo utapata faida gani kuwa na biblia ilioandikwa kwa lugha usioijua?
 
Karibu, pia nasubiri uje na injiri iliotajwa kwenye quran.
 
Kuwa translated kutoka lugha moja kwenda nyingine, mfano English to kiswahili.
 
Nijibu kwa urefu niweze kuelewa... sijakuelewa bado kulingana na maswali niliyouliza hapo mkuu
Biblia imekuwa translated kwa lugha mbali kulingana na mahitaji ya watu ya kuwa na lugha tofauti tofauti, kwa hiyo Yesu alitumia lugha ya kwao ya kipindi hicho ila sio kigiriki , nazani ni Jewish language, itakuwa aramaic and Hebrew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…