Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Thibitisha basi kama yesu kazaliwa bila babami nathibitisha kwa maaandiko ya biblia we unakataa kwa hoja ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha basi kama yesu kazaliwa bila babami nathibitisha kwa maaandiko ya biblia we unakataa kwa hoja ipi?
Maswali yako ya ajabu....soma mathayo 1;18Thibitisha basi kama yesu kazaliwa bila baba
Na ww unakubali hilo kabisa labda nikuulize genetic zinaunda mwili zina chromoses ngapi? Ili tujue ni kweli yesu hana baba au baba yake yupo sema ww humjuhi?Maswali yako ya ajabu....soma mathayo 1;18
46Na ww unakubali hilo kabisa labda nikuulize genetic zinaunda mwili zina chromoses ngapi? Ili tujue ni kweli yesu hana baba au baba yake yupo sema ww humjuhi?
Sema wewe baba yake yesu ni nani?Na ww unakubali hilo kabisa labda nikuulize genetic zinaunda mwili zina chromoses ngapi? Ili tujue ni kweli yesu hana baba au baba yake yupo sema ww humjuhi?
Naungana nawe, mkuu, katika jambo hili, hii sawa na TRA wanavyokunya mapato ya kuendesha serikali, kama isingekuwepo sadaka na michango mingine iliyobatizwa kuwa ni ya Mungu basi, pasingekuwepo kanisa,kabisa.Mimi natoka nje ya mada makusudi.
Hivi kama lengo la biblia ni kufundisha upendo na imani. Kwanini hao walioileta biblia wasiwafundishe na kuwaachia hayo mafundisho hao wanao wafunsha ili wakafanye sawa na mapenzi yao? Kwanini ujenge nyumba uwakusanye kila siku? Kwanini uwawekee utaratibu na kuwaongoza? Je binadamu hushurutishwa kuzaliwa? Je binadamu hushurutushwa kuishi? Nini maana ya maisha? Je maisha sio kua huru na kufanya utakacho? Je kunamtu mwenye maamuzi juu ya mwisho wa mwenzake kama ni hivyo kwanini watu hufa wakiwa huru?
Hii ina maana maisha ni uhuru hadi mwisho wake ni uhuru pia. Sasa basi kwanini uwalazimishe watu na kuwamonitor? Kwakuwajengea "kanisa" na kuawapa miongozo ya kuishi?
Mwenye hoja anipinge kwa hoja,
Mkuu we umewezaje kujua hakuna mungu?hebu nipe maarifa hayo.Musa awe ameaandika taurati au hajaandika nachomaanisha mungu ni hadithi za wayahudi hayupo
Kwahiyo mungu wako wewe ndiyo yupo ila wayahudi na waarabu ndiyo hawana mungu?hiyo ni imani yako siwezi kukulazimisha lakini mimi naamini mungu yupo although sio mungu huyu wa wayahudi na waarabu...no
wapi nimesema miungu yao haipo!!!!!Kwahiyo mungu wako wewe ndiyo yupo ila wayahudi na waarabu ndiyo hawana mungu?
Kwani mie nimekwambia umesema hivyo au nimekuuliza tu swali?wapi nimesema miungu yao haipo!!!!!
nilichosema ni kwamba mimi hainihusu
kitu kimoja ninachojua ni kwamba nyoka hawezi kuongea lakini kwenye stori zao kuna sehemu nyoka anaongea na binadamuKwani mie nimekwambia umesema hivyo au nimekuuliza tu swali?
Upo sahihi kabisa kuwa nyoka hawezi kuongea,na ndiyo maana pengine hilo tukio la nyoka kuongea likaandikwa humo kwa sababu ni la ajabu.kitu kimoja ninachojua ni kwamba nyoka hawezi kuongea lakini kwenye stori zao kuna sehemu nyoka anaongea na binadamu
niletee nyoka wa aina yoyote na akiongea nakupa milioni kumiUpo sahihi kabisa kuwa nyoka hawezi kuongea,na ndiyo maana pengine hilo tukio la nyoka kuongea likaandikwa humo kwa sababu ni la ajabu.
Na maajabu hadi leo yapo.
Hivi umenielewa kweli?niletee nyoka wa aina yoyote na akiongea nakupa milioni kumi
niletee kitabu chochote cha historia ya karne ya kwanza kilichoandika hiyo habari ya nyoka kuongea
mungu hayupo kama square root of negative number Afdhwalu maa qalla wa dallaSiwez ku take hii risk ya kutokuamin Mungu yupo....ni bora uamini usiende kumkuta kuliko usiamin ukaenda kumkuta..!
Mi kiimani ni Muislam na nimebahatika kusoma din mbali mbali kwa vitu nlivyovisoma uwepo wa Mungu haupingiki hata wanasayansi wakubwa wanasema "elimu ndogo ya sayans inakufanya usiamin Mungu ila unapochimba zaid inakufanya uamin uwepo wa Mungu"
Tufanye hapa duniani kungekuwa na system ya maisha kwamba lazima baada ya Muda fulan ni lazima uhamie matekan na ukienda marekan huku haurudi tena na hakuna aliyewahi kuenda akarudi...lakin huku tanzia kuna habari au tetesi kutoka kwa baadhi yetu wanadai wanaoteshwa au kwa njia yoyote kuwa huko america huwa kuna milipuko ya volcano ila ili milipuko isikudhuru unapaswa kununu jacket maalum lenye matiarls haya na haya ambayo yanapatiakana hapa duniani
Swali Je utanunua jacket safari yako itakapo fika ili kujikingga au hutanunua kwasababu habari hizo wewe huziamin???
Kwa mwenyr busara utanunua jacket ukienda kukuta sio kweli huna cha kupoteza ukikuta ni kweli tayari ulishajiandaa
Kwa msio amin Mungu uwepo wake wote ni mashahid ukifa haurud sotr tunajua hilo sisitunaamin kuna maisha baada ya kufa mimi ninae Amin Mungu nikienda kukuta hayupo sina chakupoteza nikikuta yupo hapo ndio nitakabiliana nae kwa vingine...ila wwwe usie amin Mungu moja kwa moja utakabiliana nae kwa kutokumuamin na ukikuta hayupobasi itakuwa nzuri kwako ila umetake risk ambayo haina nafasi ya pili ya kusawazisha makosa...DINi ipi ni ya kweli hiyo ni Mada nyingine ila ukianza kutafuta kasoro kwenye kila dini kwa mtazamo wako utaziona tu..!..msisitioz wangu kweny washikaji mmetake risk ambayo haina second chance.!
Wasalam aleikum
Je hizo chromosomes 46 zinatoka kwa nani mpaka itimie hiyo idadi?
Wewe hutoweza kumjua yesu kama wayahudi wanavyomjua hivyo kasome mafundisho ya wayahudi wanamtambuaje yesu kazaliwa vipi? Nenda kasome the talmud unmasked ukirudi nitakuelezea maana yake bila hivyo hutaweza kujua kuhusu yesuSema wewe baba yake yesu ni nani?
Sina shida na imani yako nahofia uhakika wako juu ya hilo kama umefanya utafiti wa uhakika au umefata mkumbo...unajua shida ni kwamba unatafuta uwepo wa Mungu kupitia dini ambazo umeshakataa kuziamini...hebu hata kwenye hiyo sience fanya uchunguzi kwa kina...mungu hayupo kama square root of negative number Afdhwalu maa qalla wa dalla
Nimekuelewa mkuu Muhammad ni mtu mwenye hekima na busara na wala hakutumwa na mungu alitumia uelewa wake maana alikuta jamii yake ipo ktk hali mbaya walikuwa wanauwa mpk watoto wa kike kasome Al khulasa tu nnuri ya qiin(siratul nabawiyya)Sina shida na imani yako nahofia uhakika wako juu ya hilo kama umefanya utafiti wa uhakika au umefata mkumbo...unajua shida ni kwamba unatafuta uwepo wa Mungu kupitia dini ambazo umeshakataa kuziamini...hebu hata kwenye hiyo sience fanya uchunguzi kwa kina...
Kwa upande wa Quran ambao naona watu wanapotosha ndio devine reveletion iliyobaki pure had leo na kwa mpangilio iliuonayo hakuna mwanadamu angeweza kuindika Quran au kuipangilia kama ilivyo ndio maana Allah kwenye Quran ame challenge mnaso sema kaandika Mtume hii Quran leten mfano wake na baada akasema leten mfano wa japo sura moja na baadae kasema leten mfano wa aya moja tu kama hii,sijui kama umeshawahi kuona muandish wa kitabu anakuchallenge utafute mapungufu....wataalamu wa lugha wanakubaliana ipo katika mpangilio na ufund wa hali ya juu hali ambayo inafanya hakuna mwanadamu anaweza kuandika...tafuta kitabu kinaitwa Kopyuta yagundua muujiza wa Quran
Hayo niiyokueleza hapo juu ni upande wa letarature Quran ipo juu kwa hili katika zama za fasih Quran haikuwa na mpinza...sasa hiv ni zama sayans na teknolojia watu wameendelea kuliko ilivyowahi kuwa katika history ya mwanadamu jambo linalopelekea watu kuona uwepo wa Mungu au ulazima wa kuamin katika din au super power kuwa mdogo au kutokuwepo kabisa..Allah alishajua hilo yeye ndio katuumba ndio maana kwenye Quran kuna aya zaid ya 6,000 zinazozungumzia sayansi ambayo dunia imekuja kuyavumbua miaka ya karibuni Quran imeyqzungumzua miaka 1,400 sayans ya hali juu ambayo vitu vingine vilihitaji microscope ili uvione Quran imevizungumzia kwa detail kubwa haikuwa rahis kwa mtu wa zama zile kuweza kuyafamu hayo...vitu kwenye embriology,astronomy,biology,oceanlogy,geology na zoology nikipata mda ntakufafwnulia kila kimoja na sayans ya leo haija prove wrong chochote kati ya vilivyozungumzwa kwenye Quran ila imepelekea wengi kuamin uwepo wa Mungu akiwemo mgunduz wa hatua za ukuaji wa binadamu kwenye tumbo la mama yake vitu ambavyo huwez kuviona with our naked eyes anaitwa prof kethmore alikiri hichi kitabu ni neno la Mungu na Muhhamad ni Mtume wa Mungu video yake ipo had youtube akizungumzia hilo.!
View attachment 788080View attachment 788081View attachment 788082