The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

Tafta lectures za huyu bwana...ziko youtube.........there is lot to learn!

Professor Bart D. Ehrman Currently the James A. Gray Distinguished Professor at the University of North Carolina at Chapel Hill, has provided students with great insight into the Christianity for more than 15 years. Among his acclaimed books is the New York Times bestseller Misquoting Jesus.
 
Sasa Mkuu, without Offence, Kama usemayo yana ukweli?.
Mbona Waislamu sio Madaktari bingwa Duniani.?.
Nini kimetokea na nini lengo lake hapo?.
Soma historia na ugunduzi wa waislam katika mambo matibu,na elimu ya nyota,kuna dhana za matibabu kuna dhana ambazo zilivumbuliwa na kutengenezwa wakati wakati wa karne Muhamad inaishi design zake zinatumika mpaka leo,watu "astrology" elimu ya nyota,waislam walikuwa wanaongoza …

Hata kuhusu matibabu ya kawaida katika karne ya 10,wakristo walikuwa hawatibu magonjwa Fulani kwasababu alikuwa wanamini kuwa mgonjwa kalaaniwa na Mungu,warabu na wa Persia waliandika vitabu vya matibabu vyengine vikatafiriwa kwa lugha ya kigiriki na kilatini..ukawa ndio mwanzao wa wazungu(wakristo) na wao kuanza kutibu wagnjwa wao kupitia vitabu vya waislam

""The 10th century Arabic doctor Al Zahrawi established the basis of surgery in Al-Andalus in Cordoba, where he worked as a doctor for the Caliph Al-Hakam II. He wrote a great medical treatise, the Kitab al-Tasrif, a 30-volume book of medicine and surgery. Al Zahrawi invented over 200 surgical instruments, many of which are still used today, including forceps, scalpel, surgical needle and retractor, specula and catgut sutures.""

Mambo mengi yanayofanywa na wazungu ni mambo waliyoiga kutokana na ustaarabu wa Kiislam,Hivi unajua kuwa sabuni ya kuoshea nyule(shampoo) ya mwanzo kufika ulaya ililetwa na Sake Dean Mahomed kutoka India katika mwaka wa 1814..wazungu ni wazuri wa kuiga na kujifanya kila kitu wamevumbua wao

Katika karne hii ya Informatioin Technology(IT) unaweza kuingia kwenye google ukatafuta unachokitaka,usione uvivu kufanya hivyo,Mkuu
 
You didn't answer the question. Instead you've creating more Questions by telling stories.

It seems to you, Europeans took a part of medicine in Arab Koran and leave the part of faith(Imani) to Arabs world. And Arabs didnt benefited from It..

And another mythiology here is, You are trying to believe All arabs are Muslims. But the Muslims world are not scientifically developed. Don't you think there could be a problem somewhere?.

Elimu ya Nyota; Kivipi unataka kufika kwenye space kama Gaggarin au Armstrong?

Au Elimu ipi ya Zodiac, Mashuke, Ndoo, nge..this is a science of Supersitituon a.k.a psychic power.
Shirki sio ya Nyota. Na Ilikuwepo kabla Ya Uislamu kuwepo Duniani?

Majina ya wataalamu wa Anga duniani.
Waarabu wangapi wapo kwenye listi..Nobel prices. In comparison to Jews?.

To be straight, Koran is a Book of Imani. Not science.

History narrates how Islam discouraes science;

A.The Islamic Extremists Taliban Bombed 4th Century Budha statues sites in Afghanistan.

B. Old Christians churches are destroyed ans may Old Churches transformed into Mosques.

C. Great Library of Alexandria in Egypt were Burned into ashes by Muslims.

D. Islamic States destroys thousands of Books and manuscript in Mosul libraries, Iraq.

Just to mention the few...

No offence, What you potrayed in Koran has no help in Medicine whatsoever...

Be Honest to your soul...
 
Nafikiri hata Quran hujasoma. Though waislam mnafichwa sana ila Quran inatambua kuwa yesu ni Mungu maana ukisoma Quran imeandika Mungu aliumba kwa neno. Na Yesu ni neno la Mungu na roho ya Mungu sasa unabishana na Quran. Kasome kitabu chako vizuri na usipo elewa njoo kwa watu wenye maarifa kuwazidi ninyi watawaelewesha. Quran imewaagiza hivyo.
atakiwaje Mungu wakati dunia ameikuta?
 
zinatoka kwa baba na mama

Kama Ndio hivyo yai la mama lina kromosome 23 Na kadhalika mbegu ya baba pia Ina kromosome 23

Tukichunguza kuzaliwa kwa yesu tafakari nini kinaweza kuwa kilitendeka

Uwezekano wa kwanza unaoweza kufikiriwa ni kwamba yai la Mariam lilitoa kromosome 23 kwa kupata mimba,kama Ndio hivyo hapo swali litakuja kwamba yai lilirutubishwaje Na kromosome nyingine 23 za lazima zilitoka wapi?

Haiwezekan kusema kusema kwamba chembe hai za yesu zilikuwa Na kromosome 23 tu ,hakuna mtoto wa kawaida wa mtu anayeweza kuzaliwa akiwa hai hata Kama anazo kromosome 45 Kama mtu akikosa hata moja tu Kati ya 46 ni za lazima sana kwake kuumbika Kama kuna Matokeo yake Basi hayatakuwa chochote ila machafuko

Kisayansi Mariam asingeweza kutoa kromosome 46 peke yake ni lazima nyingne 23 zimetoka mahala Fulani

Na Kama mungu Ndio baba hapo tena litazuka swali mungu pia anazo kromosome Sawa Na kromosome za mtu?

Na Kama mungu anazo kromosome za kibinadamu yeye haawezi kubaki kuwa mungu,hivyo Matokeo ya Imani ktk yesu kuwa mwana halisi wa mungu ni kuuhatarisha uungu wa baba pia

Watu wa zamani walikuwa hawajui mtu anazaliwaje,yesu kuzaliwa bila ya baba huo si muujiza tena kwa zama hizi,

Mambo ya kale yalionekana kuwa muujiza hayahesabiwi kuwa muujiza ktk zama hizi,mambo yana hesabiwa kuwa muujiza kulingana Na ujuzi wa mtu ktk nyakati maalumu

Leo akija yesu tunampeleka maabara Na kumpima DNA Na tukikuta kromosome 46 atatueleza Mariam baba wa yesu ni nani? Kwa vyovyote yesu Atakuwa Na baba yake Na ukisema Hana baba kromosome 23 zimetoka wapi ili kuungana Na kromosome 23 za yai la Mariam
 
kw

umesoma biblia ukajua kuzaliwa kwa yesu kulikua kwa namna gani?
 
Kwa mujibu wa biblia na quran yesu kazaliwa bila ya baba malaika amemtokea Mariam Na akamwambia atapata mimba

Lakini hili jambo si la ukweli Na uwongo uliowazi,watu wa zamani vitu vingi walikuwa Hawana elimu navyo wameongopa mengi sana walikuwa hawajui mtu anazaliwa vp Ndio Maana Ilikuwa raisi kwao kuamini Kama yesu amezaliwa bila ya baba walikuwa hawajui hata Kati ya dunia Na jua nani anazunguka walikuwa hawajui hata magonjwa yana sababishwa Na nn wao wanajua laana ya mungu Au roho chafu hivyo watu wa zamani si wa kuwakubali sana kwa kila wanachosema sio kila lilikuwepo ktk biblia Na Quran yana ukweli mengi ni uwongo,Elimu mnayopata shuleni tumieni vizuri sio kukubali hata uwongo kisa biblia Au Quran imesema

Hivyo hakuna mtu anayeweza kuzaliwa bila ya baba tukio ya yesu kuzaliwa bila ya kwa dunia ya Leo Ina baki ni hadithi za kubuni kwa vyovyote Kama yesu aliwahi kuwepo duniani Basi Atakuwa anae baba duniani ambaye Mariam Ali kuwa nae

Ukisema kuna mtu aliwahi kuzaliwa bila ya baba kwa karne Hii ambayo watu wana tafuta maarifa kila kukicha ni Sawa Na mtoto wa miaka 10 akuambie ametengeneza gari linakimbia Hilo Na ameenda nalo kutoka Dar Mpk ruvuma Na ukimwambia nionyeshe Hilo gari hataki ukimwambia umetengenezaje Anasema hajui

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa marifa Basi utwulubul ilim walahu bi swiin
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, hivi haya 'maarifa' yanayozungumziwa hapa ni yapi? What if kuna watu ambao tayari wameshayang'amua haya maarifa?
Watu waliokariri vitabu vya dini wakikamatwa kwenye hoja wanaishia kusema hayo maneno.
 
Kwa mujibu wa biblia na quran yesu kazaliwa bila ya baba malaika amemtokea Mariam Na akamwambia atapata mimba

Lakini hili jambo si la ukweli Na uwongo uliowazi,watu wa zamani vitu vingi walikuwa Hawana elimu navyo wameongopa mengi sana walikuwa hawajui mtu anazaliwa vp Ndio Maana Ilikuwa raisi kwao kuamini Kama yesu amezaliwa bila ya baba walikuwa hawajui hata Kati ya dunia Na jua nani anazunguka walikuwa hawajui hata magonjwa yana sababishwa Na nn wao wanajua laana ya mungu Au roho chafu hivyo watu wa zamani si wa kuwakubali sana kwa kila wanachosema sio kila lilikuwepo ktk biblia Na Quran yana ukweli mengi ni uwongo,Elimu mnayopata shuleni tumieni vizuri sio kukubali hata uwongo kisa biblia Au Quran imesema

Hivyo hakuna mtu anayeweza kuzaliwa bila ya baba tukio ya yesu kuzaliwa bila ya kwa dunia ya Leo Ina baki ni hadithi za kubuni kwa vyovyote Kama yesu aliwahi kuwepo duniani Basi Atakuwa anae baba duniani ambaye Mariam Ali kuwa nae

Ukisema kuna mtu aliwahi kuzaliwa bila ya baba kwa karne Hii ambayo watu wana tafuta maarifa kila kukicha ni Sawa Na mtoto wa miaka 10 akuambie ametengeneza gari linakimbia Hilo Na ameenda nalo kutoka Dar Mpk ruvuma Na ukimwambia nionyeshe Hilo gari hataki ukimwambia umetengenezaje Anasema hajui

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa marifa Basi utwulubul ilim walahu bi swiin
hamna jambo gumu kwa Mungu akiamua liwe linakua ilimradi kuwa na sababu maalum ya hilo jambo kutokea maneno ya Mungu ususani biblia ni hakika na kweli tupu
 
Nimekupa mfano kukuonyeshea dunia inasheria zake watu wa zamani walikuwa hawajui mengi unawaamini vp? Yesu kuzaliwa bila ya baba haiwezekani watu wa zamani walikuwa Hawana uelewa juu ya mtu anazaliwa vp biblia imejaa uwongo km Mariam ametoa kromosome 23 Je hizo kromosome nyingine zimetoka wapi
 
Yesu alizaliwa kwa kusudi lililopangwa na Mungu kwaio kuzalliwa kwake kulikua kwa miujiza hakuwa na baba wa kibinadamu bali kulikua kwa uweza wa Roho mtakatifu
 
Yohana 8:58
Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu ASIJAKUWAKO, MIMI NIKO.

The text of John 8:58:

Throughout the Bible, Jesus Christ is recorded to have made many claims regarding how GOD Almighty is Higher and Greater than him. These statements should be clear enough to demonstrate and prove that Jesus Christ, the Messiah (anointed, chosen to be the lord/leader/master of the Jews, their final Prophet), is no more than a creation of GOD Almighty. However, Christians often bring few verses that supposedly prove otherwise; that Jesus is GOD Almighty Himself. Such verses are: John 1, John 8:58, Colossians 1:15-16 and perhaps few others. This article will analyze John 8:58 in great details to find out whether or not their claims are true.

Here is how John 8 reads:

(Pay attention to the red emphasis below)

John 8
1 But Jesus went to the Mount of Olives.
2 At dawn he appeared again in the temple courts, where all the people gathered around him, and he sat down to teach them.
3 The teachers of the law and the Pharisees brought in a woman caught in adultery. They made her stand before the group
4 and said to Jesus, "Teacher, this woman was caught in the act of adultery.
5 In the Law Moses commanded us to stone such women. Now what do you say?"
6 They were using this question as a trap, in order to have a basis for accusing him. But Jesus bent down and started to write on the ground with his finger.
7 When they kept on questioning him, he straightened up and said to them, "If any one of you is without sin, let him be the first to throw a stone at her."
8 Again he stooped down and wrote on the ground.
9 At this, those who heard began to go away one at a time, the older ones first, until only Jesus was left, with the woman still standing there.
10 Jesus straightened up and asked her, "Woman, where are they? Has no one condemned you?"
11 "No one, sir," she said. "Then neither do I condemn you," Jesus declared. "Go now and leave your life of sin."

The Validity of Jesus' Testimony
12 When Jesus spoke again to the people, he said, "I am the light of the world. Whoever follows me will never walk in darkness, but will have the light of life."
13 The Pharisees challenged him, "Here you are, appearing as your own witness; your testimony is not valid."
14 Jesus answered, "Even if I testify on my own behalf, my testimony is valid, for I know where I came from and where I am going. But you have no idea where I come from or where I am going.
15 You judge by human standards; I pass judgment on no one.
16 But if I do judge, my decisions are right, because I am not alone. I stand with the Father, who sent me.
17 In your own Law it is written that the testimony of two men is valid.
18 I am one who testifies for myself; my other witness is the Father, who sent me."
19 Then they asked him, "Where is your father?" "You do not know me or my Father," Jesus replied. "If you knew me, you would know my Father also."
20 He spoke these words while teaching in the temple area near the place where the offerings were put. Yet no one seized him, because his time had not yet come.
21 Once more Jesus said to them, "I am going away, and you will look for me, and you will die in your sin. Where I go, you cannot come."
22 This made the Jews ask, "Will he kill himself? Is that why he says, 'Where I go, you cannot come'?"
23 But he continued, "You are from below; I am from above. You are of this world; I am not of this world.
24 I told you that you would die in your sins; if you do not believe that I am the one I claim to be, you will indeed die in your sins."
25 "Who are you?" they asked. "Just what I have been claiming all along," Jesus replied.
26 "I have much to say in judgment of you. But he who sent me is reliable, and what I have heard from him I tell the world."
27 They did not understand that he was telling them about his Father.
28 So Jesus said, "When you have lifted up the Son of Man, then you will know that I am the one I claim to be and that I do nothing on my own but speak just what the Father has taught me.
29 The one who sent me is with me; he has not left me alone, for I always do what pleases him."
30 Even as he spoke, many put their faith in him.

The Children of Abraham
31 To the Jews who had believed him, Jesus said, "If you hold to my teaching, you are really my disciples.
32 Then you will know the truth, and the truth will set you free."
33 They answered him, "We are Abraham's descendants and have never been slaves of anyone. How can you say that we shall be set free?"
34 Jesus replied, "I tell you the truth, everyone who sins is a slave to sin.
35 Now a slave has no permanent place in the family, but a son belongs to it forever.
36 So if the Son sets you free, you will be free indeed.
37 I know you are Abraham's descendants. Yet you are ready to kill me, because you have no room for my word.
38 I am telling you what I have seen in the Father's presence, and you do what you have heard from your father."
39 "Abraham is our father," they answered. "If you were Abraham's children," said Jesus, "then you would do the things Abraham did.
40 As it is, you are determined to kill me, a man who has told you the truth that I heard from God. Abraham did not do such things.
41 You are doing the things your own father does." "We are not illegitimate children," they protested. "The only Father we have is God himself."

The Children of the Devil
42 Jesus said to them, "If God were your Father, you would love me, for I came from God and now am here. I have not come on my own; but he sent me.
43 Why is my language not clear to you? Because you are unable to hear what I say.
44 You belong to your father, the devil, and you want to carry out your father's desire. He was a murderer from the beginning, not holding to the truth, for there is no truth in him. When he lies, he speaks his native language, for he is a liar and the father of lies.
45 Yet because I tell the truth, you do not believe me!
46 Can any of you prove me guilty of sin? If I am telling the truth, why don't you believe me?
47 He who belongs to God hears what God says. The reason you do not hear is that you do not belong to God."

The Claims of Jesus About Himself
48 The Jews answered him, "Aren't we right in saying that you are a Samaritan and demon-possessed?"
49 "I am not possessed by a demon," said Jesus, "but I honor my Father and you dishonor me.
50 I am not seeking glory for myself; but there is one who seeks it, and he is the judge.
51 I tell you the truth, if anyone keeps my word, he will never see death."
52 At this the Jews exclaimed, "Now we know that you are demon-possessed! Abraham died and so did the prophets, yet you say that if anyone keeps your word, he will never taste death.
53 Are you greater than our father Abraham? He died, and so did the prophets. Who do you think you are?"
54 Jesus replied, "If I glorify myself, my glory means nothing. My Father, whom you claim as your God, is the one who glorifies me.
55 Though you do not know him, I know him. If I said I did not, I would be a liar like you, but I do know him and keep his word.
56 Your father Abraham rejoiced at the thought of seeing my day; he saw it and was glad."
57 "You are not yet fifty years old," the Jews said to him, "and you have seen Abraham!"

58 "I tell you the truth," Jesus answered, "before Abraham was born, I am (I have seen Abraham before he was even born)!"

59 At this, they picked up stones to stone him, but Jesus hid himself, slipping away from the temple grounds.

There are few important notes to mention here:

1- In verse 29, Jesus says that he only does what pleases GOD Almighty.

2- In verses 33, 39, 53 and 57, the Jews declare that they are the descendants of Abraham.

3- In verse 37, Jesus confirms that they are Abraham's descendants.

4- In verse 57, the Jews say that Jesus never saw Abraham.

5- (Ample proofs from the Greek language, below, are provided for this one) In verse 58, Jesus DID NOT SAY "I AM". He rather said, "I HAVE (seen Abraham before he was even born)". The following analysis give further proofs for this:

  • The context of Jesus' statement is clearly about whether or not he saw Abraham.
  • When GOD Almighty revealed Himself to Moses in Exodus 3, and told him "I am what I am", He, the Almighty, revealed with it His Majesty and Glory. Jesus, when said "I have", he ran from the rocks that were hurled at him from the angry crowd.
  • GOD Almighty in Exodus 3 Spoke to Moses in Hebrew, while Jesus in John 8:58, spoke it in Aramaic, and the original Aramaic is lost. All what he have today is a Greek translation for the original.
  • The "I AM" in John 8:58 is a desperate mistranslation, because even if we take it to be right, it still doesn't say "I am what I am".
  • If Jesus truly wanted to say "I AM" in reference to Exodus 3, then he should've said before Adam or humanity I AM WHAT I AM; not Abraham.
6- It is also highly probable that Jesus was interrupted by the Jews picking up rocks and hurling them at him, hence, he was only recorded to have said "I HAVE" because he wasn't able to finish his sentence.

  • This point, while it may sound very lame and weak, but in reality is quite possible and sound!
 
Mambo Vipi Gavana. Pole na Ratiba yako, najua sasa hivi utakua unapiga msosi.

Uchambuzi ulioufanya laiti ingekua kwenye Quran usingethubutu kukataa kitu umesoma mwenyewe. Andiko linavyosema.!!.

Usiwe na shingo ngumu kama farisayo.

Nasema hivi, kwasababu mwishowe umepinga kilivyoandikwa, ukijaribu kuongeza tafsiri ya kichwani kwako, ndani Bibilia Takatifu. Anyway mgiriki wa Tanzania. ..

Na Pia umenishangaza, ulivyohusianisha andiko hilo na namna jinsi Mwenyezi Mungu alivyojitambulisha kwa Moses.

Ni Kitu ambacho sijakisema popote. Umehamua Kuzua tu wewe mwenyewe..'Uzushi" ambao sijaeleza.

Mwisho Punguza CopyCat. Be yourself.

Cha msingi hapo Yesu amejibu Hoja iliyotolewa na Mafarisayo. Na hoja Ya Yesu inaonyesha kuwaingia vyema wale Mafarisayo kiasi cha wao kutamani kumpiga mawe.

Na pia Ukitaka kuelewa Vyema. Anzia kwenye msingi wa Swali la Mafarisayo.?. Usitilie mkazo jibu tu peke yake.

Your father Abraham rejoiced at the thought of seeing my day; he saw it and was glad
 
unachotaka kusema hapa ni kuwa Kitabu cha huyo bwana au Bibi Bushby kinaweza kuwa na ukweli kuliko bibilia yenyewe?
Je utafiti wake ume base kwenye nini?
QUOTE="donlucchese, post: 27093744, member: 39936"]Habari za wakati huu wakuu,
Kwanza kabla yayote labda nitamke tu rasmi kwamba mimi ni muumini wa dini ya kikristu na dhima ya uzi huu sio ku-criticize our faith (for those Christians) Bali ningependa tuweze kushare mawazo kusudi kung'amua hasa kweli ni ipi. Baada ya kusoma nyuzi kadhaa za mkuu Likud na na comments za mkuu Kiranga, nilijaribu kutafuta vitabu kadhaa niweze japo basi kupata mwanga kidogo kuhusu ni ipi ni kweli. Kitabu cha The bible fraud (hivi vyote vimeandikwa na Tony Bushby) sikufanikiwa kukipata ila hiki cha secret in the bible nimefanikiwa kukipata na ndio niko mbioni kumalizia. Aisee,
Ukisoma hiki kitabu kuna shocking facts (truth) ambazo kiukweli zimenishtua hadi sasa moyo wangu hauna amani. Imagine what you have been made to believe turns out to be fake. Kwenye biblia kuna siri nyingi sana na according to bwana bushby, mtu aliyeitwa Francis Bacon ambae ni moja ya magenius waliowahi kutokea duniani, ambae pia ni among the earliest initiates (masonry) ndie aliyepewa jukumu LA kuandika biblia ya kwanza na king jes ambapo humo aliencode siri nyingi sana ambazo inabidi uwe enlightened kuweza kuzifahamu. Pia anasema Jesup christ had a twin brother na hakuuliwa kwa crucifixion bali he was stoned to death baada ya kukamatwa na hatia ya kuiba the ancient secrets from Egypt na ndipo alipoanza kuperform MIUJIZA. hizi ni baadhi ya screenshots za baadhi ya pages Kwenye kitabu hiko...
View attachment 775699
View attachment 775704
View attachment 775706
Naomba tuweze kujadili swala hili kwa marefu na mapana wakuu lengo ni kugain knowledge wala sio kukashifiana kiimani. Mods pls Naomba msiuunganishe huu uzi na nyuzi zingine na kwa atakae hitaji hiki kitabu nitampatia.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom