The Blacklist series

Hiyo ambae ataitizama na asiipende atakua na lake jambo. Series nilizopata kuangalia marambilimbili ni

PPB
BB
Vigezo navyotumia ni kua series ambayo nikikaa natamani kuangalia baadhi ya episode au series nzima. Ila BB bado haijanishawishi kuirudia. Ila nakubali BB in uhalisia mkubwa sana na akili ilitumika kutengeneza salute kwake Vince Gilgan
wazee mbn mnaandika vifupi ss, em andikeni kwa urefu na sie tukazisake, BB na PB sio.mchongo
 
Hivi upo Dar?
Mkuu kama unapenda series za mkono angalia hii series ya Agent of Shield. Zipo related na matukio ya muvi za Marvel. Creator wa hii series ni Josh Whedon aliyedirect muvi za Avanger 2012,Avanger age of Ultron, Justice League nk nk. Niliikubali sana
 
Jana ndio nimemaliza kutazama season ya 7 Lizzy anatangaza kuungana na mama yake(Katerina) dhidi ya Redington sijui itakuwaje!
Unaangalia vitu vya wanaume shauri yako wewe.
Ila mnazidi kunitamanisha ndio kwanza niko S4EP7
 
Haha eti vitu vya wanaume! Yani huo uhondo wafaidi wanaume tu...komaa nayo ngoja nije nipakue hiyo season 8 naona wadau wamesema tyr.
Kuna Huba,Selina,Sultan nk.. zinawafaa females. Hizi tuachie sie.
Btw Nawe ulinitakia mitano tena ya Ban sawa
 
Kuna Huba,Selina,Sultan nk.. zinawafaa females. Hizi tuachie sie.
Btw Nawe ulinitakia mitano tena ya Ban sawa
😀😀😀😀

Kumbe unakumbuka eeh ndio uache kufutafuta mi hata sipendi.

Hizo ulizotaja ni za house girls aisee mimi siwezi kupoteza muda wangu huko nafuatilia tu vitu vyenye akili mingi.
 

Niliipendaga house of cards lkn njiani nikaachana nayo ilianza kua ya kiboya.
 

FBI mwenye uwezo huo alikua J Edgar hoover,the one and only.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…