The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
kitu gan ungependa kumiliki but kipo nje ya uwezo wako?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] best friend kumbe mtoto wa ilulu... Mwaka gani ulikuwa pale??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] best friend usiniulize mwaka aiseee. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 2000 mi ndio naanza la kwanza pale. Lakini nilihama pia.
Mtoto wa ilulu mie, chama la ilulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu the bold unanifurahisha kwel unavyojib maswal yang.. kuna kitu najifunza. Usinichoke.
 
what kind of people you are interested to live with?
 
Kuna muda urafiki wa Tanzania na Rwanda uliingia mashakani kiasi kwamba tulianza kusikia maneno na vijigambo kutoka kwa jirani yenu Rwanda kuhusu Tanzania lakini leo hii serikali mpya imemafanya huyu mtu ambaye mimi namuita kama ni adui namba 1 ukiachilia Kenya kwa usalama na ustawi wa Tanzani.

Kwa jicho la kiintelijensi, Unazungumziaje urafiki wetu na huyu bwana. Je, ni wa heri au ametusogeza ili akamirishe mkakati wake wa kutaka kutufanya koloni lake?

CC The Bold.
 
Why THE BOLD? kwanini umechagua nickname hii inamaanisha nini? Je inahusiana na maisha yako? Kwauzuri au kwaubaya?
The Bold...

Nilisahili hii ID nikiwa ndio namalizia malizia chuo... Kwa muda huo nilikuwa nasoma na huku nina majukumu mengine makubwa mawili... Ya kijamii

So at some point nilikuwa natamani nidrop jukumu walau moja... Labda nihairishe mwaka chuoni nikomae na mishe hizo au niachane na hizo mambo nimalize chuo... bcoz the job was very demanding

But nikawa najirariji kuwa nikomae nayo yote coz "fortune favours the bold" (watu majasiri ndio wanaofanikiwa)

Huo msemo ulinikaa sana kichwa... Kila siku najifariji nao... "Fortune favours the bold"

So nilipotaka kujisajili... Neno la karibu ambalo lilikuwa linakuja kichwani ni The Bold... Coz i was bold enough kufanya majukumu mazito vile nikiwa chuo bado
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom