Aye aye sir..Hahaha, Hebu kwanza kakamilishe kazi ambayo nimekuachia. Kuna makabrasha ya boss ambayo hupaswi kuyasoma asee..... Hahaha!.
The way I create my thoughts..kitu gan unahisi uko tofauti na wengine. (uniqueness)
Be the best and expose yourself to everything...Tuambie attitude yako kwenye maisha ni ipi?
Loyaltywhat you value the most on your life?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] best friend usiniulize mwaka aiseee. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 2000 mi ndio naanza la kwanza pale. Lakini nilihama pia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] best friend kumbe mtoto wa ilulu... Mwaka gani ulikuwa pale??
Apache Attack Helicopterkitu gan ungependa kumiliki but kipo nje ya uwezo wako?
Am 'encyclopidic'... Interested in everythingunapenda kudadisi vitu gan in daily life?
My family... (My mom, my kids, my lovely wife)upo tayari kufa kwa ajili ya kitu gan in this world?
Sijui nimejibu maswali?
Introverts! Thinkers, doers not talkerswhat kind of people you are interested to live with?
The Bold...Why THE BOLD? kwanini umechagua nickname hii inamaanisha nini? Je inahusiana na maisha yako? Kwauzuri au kwaubaya?
Hapana...ungependa mwanao apitie malezi kama yako? why?