The bold ambaye ni maarufu humu JF kwa mada za kusisimua, haswa za kijasusi, jana alifanya interview hapa JF ikisimamiwa na
STUNTER. Nilichokigundua:
1. The Bold na
Nifah (Hanifah) wamewahi kuwa mahasimu wakubwa humu JF, ila baadaye walihamia pm, na kuwa marafiki, hatimaye wakawa wapenzi, then wachumba na wana mtoto.
2.
The bold, anatumia ID hii ya 'The Bold' kutokana na kupata 'mchongo' serikalini na akamudu majukumu ya kazi, huku akiwa bado anasoma. Mchongo wenyewe hajausema ila unajieleza kuanzia namba 3.
3. Japo hajasema mchongo wenyewe,
The bold anayedai kasomea uchumi, alishindwa kujibu swali la kiuchumi kwa madai lina majibu marefu, ila lilipokuja swali la kiusalama (kiintelijensia) alilijibu kwa kirefu sana na kwa ufasaha.
4. The Bold anadai amewahi kuombwa ushauri juu ya maswala ya usalama, ila amekataa kusema ameombwa ushauri yeye akiwa kama nani, na akasema waulizwe wahusika na hao w