The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
Yani bora ungekuja kinamna nyengine ningekupatia ila nishakujua hahahahah
wewe haustahili hata jero, tena unafaa wewe ndo unipe mimi hiyo zawadi manake data zote unazo
Hahaha.. nilitaka nimpe jje's hiyo zawadi.
 
The bold ambaye ni maarufu humu JF kwa mada za kusisimua, haswa za kijasusi, jana alifanya interview hapa JF ikisimamiwa na STUNTER. Nilichokigundua:


1. The Bold na Nifah (Hanifah) wamewahi kuwa mahasimu wakubwa humu JF, ila baadaye walihamia pm, na kuwa marafiki, hatimaye wakawa wapenzi, then wachumba na wana mtoto.


2. The bold, anatumia ID hii ya 'The Bold' kutokana na kupata 'mchongo' serikalini na akamudu majukumu ya kazi, huku akiwa bado anasoma. Mchongo wenyewe hajausema ila unajieleza kuanzia namba 3.

3. Japo hajasema mchongo wenyewe, The bold anayedai kasomea uchumi, alishindwa kujibu swali la kiuchumi kwa madai lina majibu marefu, ila lilipokuja swali la kiusalama (kiintelijensia) alilijibu kwa kirefu sana na kwa ufasaha.

4. The Bold anadai amewahi kuombwa ushauri juu ya maswala ya usalama, ila amekataa kusema ameombwa ushauri yeye akiwa kama nani, na akasema waulizwe wahusika na hao w
 
Hizo story na umbeya na ushakunaku hili sio jukwaa lake kiongozi, nadhani umekosea njia. Nenda chitchat huko au celebrity ndio kuna hizo mambo.


sijajua povu la klee soft umetoa kwa sababu gani, ama ni wivu kwa The Bold, ama umenyimwa unyumba asubuhi hii, ila kwenye post sijakusema wala sikujua kama kuna id kama hii humu. usipende umaarufu kwa kuparamia paramia. acha ujinga.
 
Ngoja niitafute hyo interview kwanza maana siku hzi nalala sana kwa kilev
 
Namuelewa sana The Bold...ingawa najua haters hawakosekani..lakini niseme tu kwa lugha ya malikia..Learn to Appreciate..
 
The Bold alitokelezea kipindi cha Mbasha na Gwajima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom