falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Khabibu na khanifaHakuna mtu anaeshindwa kutoa SUMMARY ya kile alicho jifunza, ama kugundua katika Mahojiano hayo.
Au ungependa kila mmoja afunguke...!?
Mimi nimegundua kuna tofauti ya KIIMANI/DINI kati ya Marafiki hawa wawili....au unasemaje kuhusu hili..!!
Hakuna mtu anaeshindwa kutoa SUMMARY ya kile alicho jifunza, ama kugundua katika Mahojiano hayo.
Au ungependa kila mmoja afunguke...!?
Mimi nimegundua kuna tofauti ya KIIMANI/DINI kati ya Marafiki hawa wawili....au unasemaje kuhusu hili..!!
Dah, Hiyo taarifa nimeipata...
HUO NI UMBEA WA KIDADA KWANI TUMEKUULIZA?
Wote hapa tulikua kwenye Interview..
Wewe ni mwongo Babu kubwa,wapi the bold amesema ana mtoto na Nifah? eti wana mtoto wakati sahv ndo wamefikisha miezi sijui tisa sijui kumi ya uhusiano wao.
bila shaka wewe ndiye mwenye JF, usinipangie cha kupost chakubimbi wewe!