The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
Hakuna mtu anaeshindwa kutoa SUMMARY ya kile alicho jifunza, ama kugundua katika Mahojiano hayo.

Au ungependa kila mmoja afunguke...!?

Mimi nimegundua kuna tofauti ya KIIMANI/DINI kati ya Marafiki hawa wawili....au unasemaje kuhusu hili..!!
 
Kama wameoana hiyyomoja kati ya mafanikio mazuri sana ya JF
 
Hakuna mtu anaeshindwa kutoa SUMMARY ya kile alicho jifunza, ama kugundua katika Mahojiano hayo.

Au ungependa kila mmoja afunguke...!?

Mimi nimegundua kuna tofauti ya KIIMANI/DINI kati ya Marafiki hawa wawili....au unasemaje kuhusu hili..!!
Khabibu na khanifa
 
HUO NI UMBEA WA KIDADA KWANI TUMEKUULIZA?
Wote hapa tulikua kwenye Interview..
 
Wewe ni mwongo Babu kubwa,wapi the bold amesema ana mtoto na Nifah? eti wana mtoto wakati sahv ndo wamefikisha miezi sijui tisa sijui kumi ya uhusiano wao.
 
Nasikitika sana kwa kuikosa hiyo interview, huo uzi ulirushwa majira ya saa ngapi?
 
Mimi niliyo gundua kuhusu the bold jana ni
1. Ana umri kati ya miaka 27-30
2. Nahic atakua na gari lakini bado ha jajenga
3. Hana uwezo wa kusimamia biashara
4. Co afisa usalama
5. Vitabu ana vyo soma ndo vinamsaidia kuandika makala hasa za kiitelenjensia
6. Rangi yake sio mweupe black flain ivi
7. Hapend kunjionyesha au yupo busy na mambo yake
8. Ni mzuri kwenye mambo ya kutumia computer
9. Uelewa wake wa darasan ulikuwa wa kawaida tu
10. Nahic atakuwa mtu wa kukasirika haraka
11. Anapenda kucheka.
 
Hakuna mtu anaeshindwa kutoa SUMMARY ya kile alicho jifunza, ama kugundua katika Mahojiano hayo.

Au ungependa kila mmoja afunguke...!?

Mimi nimegundua kuna tofauti ya KIIMANI/DINI kati ya Marafiki hawa wawili....au unasemaje kuhusu hili..!!

Mume ametaja jina la kwanza la kiislam iv, na mke anaitwa Hanifah
 
Wewe ni mwongo Babu kubwa,wapi the bold amesema ana mtoto na Nifah? eti wana mtoto wakati sahv ndo wamefikisha miezi sijui tisa sijui kumi ya uhusiano wao.

ni wapi nimesema kuwa jamaa kasema? masikini wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom