The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.

Kwakuwa ' umemdadavua ' vizuri sana na inaonekana unamjua pia ' Kindakindaki ' Mkuu. Vipi katika gundua gundua zako dhidi yake hukuweza kujua japo ' Size ' ya Mkuyenge wake ili tuweze kujua kama ' mwenzetu ' huyo ni Team Gambia au ni Team Tanzania?
 
Genta nilikuwa ninakuheshimu kweli toka wakati ule wa mafuriko ya Lowassa. Ila siku za hivi punde umekuwa kituko kweli kweli. Comment yako hii ni moja ya mfano hai. Jirekebishe, kama huna jema, busara ni kukaa kimya, maana unajitahidi kubaki kwenye umaarufu kwa kutumia njia za kukupotezea umaarufu, just that!
 
Umemaindi Mkuu? Barida!
 
Tatizo limeshaelezwa na shem Nifah kwa kirefu sana, pia bibie kapost ujumbe wa mumewe The bold, juu ya mkasa huo na mwingine ufananao na huo, ila JF wameufuta ule uzi.
uzi mwingine upo kule jamii inteligency kwenye ule uzi wake wa operation 5 zisizoweza sahaulika
 
Wewe ni mwongo Babu kubwa,wapi the bold amesema ana mtoto na Nifah? eti wana mtoto wakati sahv ndo wamefikisha miezi sijui tisa sijui kumi ya uhusiano wao.
Watu wanapenda kufatilia hata yasiyowahusu
 
Jana nimemsoma kwenye interview yake naona wanaomkosoa ye anawaita haters,lo na wanazuia mafanikio yake hapo sikumuelewa kivipi wakati hata watu hawamjui ,mbona Magu anakosolewa kila siku,,tujifunze kupenda kukosolewa tutafika mbali
 
Hahahahahaha
Umeandika kibusara sana mkuu,inaonesha jinsi ulivyo
 
nna waswas na mchongo wake due to technical issues alvokua anajibu maswali
achilia mbali kuji expose ila maswali mengi ya kimtego alshindwa kujibu ipasavo

tambua tuu hakuna kidogo wala kikubwa chochote kinachukuliwa kwa ukubwa wake
niishie apa ila nna doubt na mambo mengi
 
Kwakuwa ' umemdadavua ' vizuri sana na inaonekana unamjua pia ' Kindakindaki ' Mkuu. Vipi katika gundua gundua zako dhidi yake hukuweza kujua japo ' Size ' ya Mkuyenge wake ili tuweze kujua kama ' mwenzetu ' huyo ni Team Gambia au ni Team Tanzania?
Hili jamaa huwa jinga sana
 
Tatizo limeshaelezwa na shem Nifah kwa kirefu sana, pia bibie kapost ujumbe wa mumewe The bold, juu ya mkasa huo na mwingine ufananao na huo, ila JF wameufuta ule uzi.
Kiongozi, hebu weka kwa ufupi tatizo ni nn hadi wampige ban?...maana hata uzi wa interview umefungiwa pia daaaah!

JF nadhani safari hii mtakuwa hamjamuonea The bold km kipindi kileeee!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…