The best comment ever!Siwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc
Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...
Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...
Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....
Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!
Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...
Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...
Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sing'oki kwenye hii interview wallah
KABLA HATUJAENDELEA NAOMBA UYAJIBU KWA KIFUPI HAYA MASWALI
-
The bold ni kitu gani katika mwili wako ambacho unahisi kipo kimakosa, na ungepata uwezo basi ungekibadilisha haraka iwezekanavyo?
-
Maisha ya Tanzania yanakufurahisha? Kitu gani ambacho unaona kina kasoro katika maisha ya Watanzania wengi?
-
Nafahamu hakuna mtu aliye imara(bold) ambaye anakosa udhaifu japo mdogo tu, unaweza ukashea nasi udhaifu wako mkubwa upo mahali gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nakumegea tu Kuna mtu anaitwa Mange Kimambi Nifah alishawahi kuleta thread kumuhusu na alimjibu kwa I D yake halisi kwaiyo jiandae kuchambwa wewe ,mkeo na koo zenu kwa ujumla ukishakuwa verified sijui umejiandaa kisaikolojia na hilo?
Na jiandae kupata bwana hapahapa[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sing'oki kwenye hii interview wallah
Naamini makala na riwaya zote nilizoandika ni 'Mawe'... Ila kama utahitaji nitaje chache nitakuambia...Pia usisahau hili swali la nyongeza ni riwaya /hadithi ipi iliyowahi kukupa mafanikio zaidi ya zingine? Unaweza kushea nasi hayo mafanikio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia upakatwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaushamaswali ya kipuuzi tu.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]looohNa jiandae kupata bwana hapahapa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naamini makala na riwaya zote nilizoandika ni 'Mawe'... Ila kama utahitaji nitaje chache nitakuambia...
1. VIPEPEO
2. GERANIMO
3. THE OTHER HALF
4. BEHIND THE CURTAIN
5. STORI YA KINA NORTAFBATOLLO (hii ni makala yangu ya kwanza kuiweka humu JF)
Mafanikio...
Nadhani ni mapema mno kuzungumzia mafanikio...
Labda niseme yafuatayo;
i) nimefarijika kwa kipawa changu kujulikana
ii) nimpata marafiki wengi sana na supporters kupitia group langu la WhatsApp SIMULIZI ZA THE BOLD ambao sasa wamekuwa kama familia yangu
iii) nimefungua website na inafanya vizuri sana sana
iii) kuna member mkongwe wa JF (sio active sana) yuko US amependa ninachofanya na kuna deal fulani amenipatia huko... Soon mambo yakikamilika nitaweka hadharani iwe ushuhuda na kuwatia moyo wengine humu JF
Kausha
Mkuu hili swali linahitaji jibu refu sana... Labda tuliweke mwishoni mwishoni nikianza kujibu sasa hivi naweza kukosa nafasi ya kukujibu mengine (yaani itachukua muda mwingi sana kujibu hili kwa ufasaha)Vyema sana, lakini angalau ungesaidia kuelezea japo steps chache tu za jinsi unavyopata idea, jinsi ya kuwachora wahusika pamoja na mengineyo, jaribu kufanya ivyo na hakika utasaidia wengi
Sawa, ila usisahau tu..Mkuu hili swali linahitaji jibu refu sana... Labda tuliweke mwishoni mwishoni nikianza kujibu sasa hivi naweza kukosa nafasi ya kukujibu mengine (yaani itachukua muda mwingi sana kujibu hili kwa ufasaha)
Liweke akiba kwanza
We jamaa nilipoanza kukusoma makala zako nikagundua una uwezo mkubwa na inawezekana ujawahi kuutumia hata kwa 50% Nakutabiria makubwa sana mbeleni kama hilo dili lako la US jini mkata kamba hajaingilia kati. Ila una kipawa sana hasa kwenye utunzi unaweza ukasimama na Mell Gibson.Naamini makala na riwaya zote nilizoandika ni 'Mawe'... Ila kama utahitaji nitaje chache nitakuambia...
1. VIPEPEO
2. GERANIMO
3. THE OTHER HALF
4. BEHIND THE CURTAIN
5. STORI YA KINA NORTAFBATOLLO (hii ni makala yangu ya kwanza kuiweka humu JF)
Mafanikio...
Nadhani ni mapema mno kuzungumzia mafanikio...
Labda niseme yafuatayo;
i) nimefarijika kwa kipawa changu kujulikana
ii) nimpata marafiki wengi sana na supporters kupitia group langu la WhatsApp SIMULIZI ZA THE BOLD ambao sasa wamekuwa kama familia yangu
iii) nimefungua website na inafanya vizuri sana sana
iii) kuna member mkongwe wa JF (sio active sana) yuko US amependa ninachofanya na kuna deal fulani amenipatia huko... Soon mambo yakikamilika nitaweka hadharani iwe ushuhuda na kuwatia moyo wengine humu JF
Mkuu ujue mpaka sasa sijaamini wewe ndio umeandika hayo maneno *kipajo* nkBold naweza sema umebarikiwa kipajo kikubwa sana cha utunzi(hongera) na hiko ndicho kilichokufanya mpaka ukatambulika humu kwa kiasi kikubwa.
Sasa basi
Tumezoea kuona mabandiko yako mengi ya kuvitia, sasa tungependa kujua Ratiba yako kwa siku nzima inakuaje? Yani kwamfano unataka kuandaa makala moja kuhusu sakata fulani la kiinteligensia,
huwa inakuchukua muda gani hasa mpaka akina pangu pakavu tuje kuliona JF?
HahahaKABLA HATUJAENDELEA NAOMBA UYAJIBU KWA KIFUPI HAYA MASWALI
-
The bold ni kitu gani katika mwili wako ambacho unahisi kipo kimakosa, na ungepata uwezo basi ungekibadilisha haraka iwezekanavyo?
-
Maisha ya Tanzania yanakufurahisha? Kitu gani ambacho unaona kina kasoro katika maisha ya Watanzania wengi?
-
Nafahamu hakuna mtu aliye imara(bold) ambaye anakosa udhaifu japo mdogo tu, unaweza ukashea nasi udhaifu wako mkubwa upo mahali gani?
Dada nakuona nakuona.,.... Tupo tunasikilizia taratibu na kimya kimya.The best comment ever!
#MyHubbyBaeIsGenius# [emoji119]