Kizimbuzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 1,569
- 745
Hesabu marinda yako kwanza kama yametimia..
Kahesabu ya dada zako shoga wewe, kama unafumuliwa ulidhani ni wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hesabu marinda yako kwanza kama yametimia..
Mimi niliyo gundua kuhusu the bold jana ni
1. Ana umri kati ya miaka 27-30
2. Nahic atakua na gari lakini bado ha jajenga
3. Hana uwezo wa kusimamia biashara
4. Co afisa usalama
5. Vitabu ana vyo soma ndo vinamsaidia kuandika makala hasa za kiitelenjensia
6. Rangi yake sio mweupe black flain ivi
7. Hapend kunjionyesha au yupo busy na mambo yake
8. Ni mzuri kwenye mambo ya kutumia computer
9. Uelewa wake wa darasan ulikuwa wa kawaida tu
10. Nahic atakuwa mtu wa kukasirika haraka
11. Anapenda kucheka.
Kwakuwa ' umemdadavua ' vizuri sana na inaonekana unamjua pia ' Kindakindaki ' Mkuu. Vipi katika gundua gundua zako dhidi yake hukuweza kujua japo ' Size ' ya Mkuyenge wake ili tuweze kujua kama ' mwenzetu ' huyo ni Team Gambia au ni Team Tanzania?
Genta nilikuwa ninakuheshimu kweli toka wakati ule wa mafuriko ya Lowassa. Ila siku za hivi punde umekuwa kituko kweli kweli. Comment yako hii ni moja ya mfano hai. Jirekebishe, kama huna jema, busara ni kukaa kimya, maana unajitahidi kubaki kwenye umaarufu kwa kutumia njia za kukupotezea umaarufu, just that!
Watu wanapenda kufatilia hata yasiyowahusuWewe ni mwongo Babu kubwa,wapi the bold amesema ana mtoto na Nifah? eti wana mtoto wakati sahv ndo wamefikisha miezi sijui tisa sijui kumi ya uhusiano wao.
Jana nimemsoma kwenye interview yake naona wanaomkosoa ye anawaita haters,lo na wanazuia mafanikio yake hapo sikumuelewa kivipi wakati hata watu hawamjui ,mbona Magu anakosolewa kila siku,,tujifunze kupenda kukosolewa tutafika mbaliMimi niliyo gundua kuhusu the bold jana ni
1. Ana umri kati ya miaka 27-30
2. Nahic atakua na gari lakini bado ha jajenga
3. Hana uwezo wa kusimamia biashara
4. Co afisa usalama
5. Vitabu ana vyo soma ndo vinamsaidia kuandika makala hasa za kiitelenjensia
6. Rangi yake sio mweupe black flain ivi
7. Hapend kunjionyesha au yupo busy na mambo yake
8. Ni mzuri kwenye mambo ya kutumia computer
9. Uelewa wake wa darasan ulikuwa wa kawaida tu
10. Nahic atakuwa mtu wa kukasirika haraka
11. Anapenda kucheka.
HahahahahahaGenta nilikuwa ninakuheshimu kweli toka wakati ule wa mafuriko ya Lowassa. Ila siku za hivi punde umekuwa kituko kweli kweli. Comment yako hii ni moja ya mfano hai. Jirekebishe, kama huna jema, busara ni kukaa kimya, maana unajitahidi kubaki kwenye umaarufu kwa kutumia njia za kukupotezea umaarufu, just that!
Hili jamaa huwa jinga sanaKwakuwa ' umemdadavua ' vizuri sana na inaonekana unamjua pia ' Kindakindaki ' Mkuu. Vipi katika gundua gundua zako dhidi yake hukuweza kujua japo ' Size ' ya Mkuyenge wake ili tuweze kujua kama ' mwenzetu ' huyo ni Team Gambia au ni Team Tanzania?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha siku zile yaani kabisa watu walikomaa Bold ndo MbashaThe bold ni mtu wa kipekee sana..kuna kipindi tulimuita Mbasha..
Kiongozi, hebu weka kwa ufupi tatizo ni nn hadi wampige ban?...maana hata uzi wa interview umefungiwa pia daaaah!
kumbe mwanausalama?hahaha bado nifukue Kichwa Kichafu