The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Hivi mko serious kweli.... Mimi siamini kama kwenye hiii mitandao unaweza ukapata mtu mkapendana kwa dhati moyoni......
In shot hata kwenye maisha ya uhalisia siamini km true love bado IPO!!!!
 
Hivi mko serious kweli.... Mimi siamini kama kwenye hiii mitandao unaweza ukapata mtu mkapendana kwa dhati moyoni......
In shot hata kwenye maisha ya uhalisia siamini km true love bado IPO!!!!
Mkuu kuna watu hawaamini kama Mungu yupo lakini yupo.. Yaani maana yangu ni kwamba uwepo wa kitu haitegemei kama unaamini kipo au hauamini...

Namaanisha kwamba true love ipo... Ila kuamini uwepo wake ni hiari ya mtu! Mfano wewe umechagua kiamini kwamba haipo lakini wewe kutoamini uwepo wake haifanyi isiwepo..

Pia, watu wanaweza kukutana kokote pale na kupendana... Haina formula lazima mkutane mahali fulani!
Mnaweza kukutana barabarani, kazini, chuoni, mtandaoni, kwenye basi, kwenye ndege, etc etc

So true love hipo na hakuna sheria mnatakukutana wapi!!
 
Ok nimekupataaa mkuu
 
Hivi haya mapenzi ya mtandaoni yapo? Au ni zile za kuelewana kuish kama wapenzi mtandaon. . Au ni ushamba wangu
 
Wekeni picha hapa hapa,coz mapenzi yenu yameshachanua na % kubwa ya watu humu wanayajua...sio mbaya kama mkatuwekea picha ya pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…