Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna watu hawaamini kama Mungu yupo lakini yupo.. Yaani maana yangu ni kwamba uwepo wa kitu haitegemei kama unaamini kipo au hauamini...Hivi mko serious kweli.... Mimi siamini kama kwenye hiii mitandao unaweza ukapata mtu mkapendana kwa dhati moyoni......
In shot hata kwenye maisha ya uhalisia siamini km true love bado IPO!!!!
Ok nimekupataaa mkuuMkuu kuna watu hawaamini kama Mungu yupo lakini yupo.. Yaani maana yangu ni kwamba uwepo wa kitu haitegemei kama unaamini kipo au hauamini...
Namaanisha kwamba true love ipo... Ila kuamini uwepo wake ni hiari ya mtu! Mfano wewe umechagua kiamini kwamba haipo lakini wewe kutoamini uwepo wake haifanyi isiwepo..
Pia, watu wanaweza kukutana kokote pale na kupendana... Haina formula lazima mkutane mahali fulani!
Mnaweza kukutana barabarani, kazini, chuoni, mtandaoni, kwenye basi, kwenye ndege, etc etc
So true love hipo na hakuna sheria mnatakukutana wapi!!
sawa dada tutunzie shemeji yetu!...Naam.
Wekeni picha hapa hapa,coz mapenzi yenu yameshachanua na % kubwa ya watu humu wanayajua...sio mbaya kama mkatuwekea picha ya pamojaMungu wanguuuuuu! Hivi tumeshafikisha miezi 6 baba?
Umenifanya nikapekue diary na uko sahihi kabisa,hadi tarehe kumbe bado unaikumbuka? Umetisha kichwa wangu.
Well,nashukuru kwa kila kitu mpenzi wangu. Nashukuru kwa kunipenda kiasi ambacho sikuwahi kudhani kama nitakuja kumpata mwanaume wa kunipenda hivi!
Yani unanipenda hadi kila wakati najihisi ni mwenye deni,nitaulipa vipi upendo huu? Naona hakuna njia nzuri zaidi ya kukulipa kwa upendo my sweetlove...yaani ni upendo kwa upendo [emoji4] [emoji8]
Napenda kutumia fursa hii kuwapa ushauri wale wote wanaovutiwa na sisi kama couple.
Jamani mapenzi ya wazi yana changamoto nyingi mnoooo,sio mchezo.
The bold ni mwanaume haswa,mvumilivu kwelikweli.
Kapambana na mengi/wengi sana juu yangu na mapenzi yetu kiujumla.
Kaambiwa na bado anaambiwa mengi,lakini I thank God he is smart enough,hajatetereka ndio maana hadi sasa tuko pamoja.
Achana na maneno ya watu,ni wengi sana hawaamini kama sisi ni wapenzi.
Katika maswali ninayokumbana nayo humu (na hata kwa ndugu jamaa na marafiki wanaoijua ID yangu ) ni "Wewe na Bold ni wapenzi kweli?"
Nawaelewa sana kwanini wananiuliza swali hili. Sababu kuu ni HAWAAMINI kama inawezekana watu mkajuana kupitia mitandao/mtandao na mkapendana kweli.
Jamani,this is serious,sio maigizo wala hakuna chochote kile zaidi ya mapenzi.
Na haya mambo yanawezekana kabisa.
Ila sasa (naomba radhi kwa wale nitakaowakwaza) wale wanaoandika kabisa posts za kutafuta wachumba/wapenzi au wenzi ndio wanaotia ukakasi na kuondolea credibility ya mapenzi ya mitandaoni maana wengi hawako serious.
Haya mambo yanawezekana endapo yakijijenga yenyewe (kama mimi na Bold tulivyopendana)
Hii ndio ile wenzetu wanasema "Let love lead"
Baada ya kusema hayo naomba nihitimishe kwa haya "Nakupenda sana Bold wangu,asante kwa kunipenda namna hii,asante kwa kunivumilia,asante kwa vita zote zile ulizopambana na bado unaendelea kupambana kwa ajili yangu na mapenzi yetu kiujumla.
Mara nyingi huwa nakuambia kila wakati naumiza kichwa nikiwaza nikukeep vipi,natamani nifanye zaidi ya yale uniambiayo ndiyo pekee unayoyahitaji.
Nitakupenda Daima,that's a promise"
Happy six months anniversary my love
Huu uzi umewekwa siku 4 baada ya mimi kujiunga JFKila la kheri The bold na nifah
[emoji7] [emoji7]Huu uzi umewekwa siku 4 baada ya mimi kujiunga.
Sina la kuongezea ushaniwakilisha kwenye wishes
[emoji34] [emoji34]Yaan mim naomba hiyo siku niwe mwanakamati maan
Mkuu, sio poa kufanya maskhara pale mwezio alipo wekeza hisia zake.The bold una mpunga wa kutosha?
Mabaharia hatuchelewi kukuchukulia!
Sent using Jamii Forums mobile app