The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Imetibia miaka 7 na miezi kadhaa natumai sasa mna watoto na washaanza shule na mmeoana mnaishi kwenye nyumba yako
Hawajaoana, wameachana.

Miaka 7 ni mingi aisee...
 
Yani nimemuumba Nifah??? [emoji23] [emoji23]

The only way ya kuprove naomva uje siku ya harusi... Usikose sasa Mkuu! Na Zawadi..
Mkuu,
Muhimu sio kula kuku robo na roast la nyama, muhimu ni kula ule mzigo kwa "how many years"? Sherehe kitu gani bwana, I believe no regrets..umekula na kubakisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…