Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Mwaka umeanza Kwa Fujo sanaa.
Uliisha kwa fujo pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka umeanza Kwa Fujo sanaa.
Hiyo comment yangu ya kitambo sana ilikuwa ya kuchangamsha Uzi based on masihara..Update za nini??
Hawajaoana, wameachana.Imetibia miaka 7 na miezi kadhaa natumai sasa mna watoto na washaanza shule na mmeoana mnaishi kwenye nyumba yako
Duuuhh, Mbona muhusika anasema ni August, ila wewe umepost MayYana mda basi, tayari bhna hawa
Watu wamemkaaanga kwa kufukua Kaburi.Kumbe Nifah kafuta comment zake zote kwenye huu uzi.
Amaa kweli kishindo cha "Mtaachana tu" ni kizito sana
Kiko wapi?Kumbe Nifah kafuta comment zake zote kwenye huu uzi.
Amaa kweli kishindo cha "Mtaachana tu" ni kizito sana
This is jf🤠!Mmeamua kufukua makaburi
Mkuu,Yani nimemuumba Nifah??? [emoji23] [emoji23]
The only way ya kuprove naomva uje siku ya harusi... Usikose sasa Mkuu! Na Zawadi..
Ila mapenzi kmmk,sometimes natamanigi nisipende kabisaThis is jf🤠!
Hahaa sema naona Nifa hawajamuandama kihivo wangemkalia kooni huu Uzi ungefunfwa mbona
Tunasubiri na wewe yakukute ili tufukue..Mmeamua kufukua makaburi
MmmmhhIla mapenzi kmmk,sometimes natamanigi nisipende kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16]Mods Tuwekeeni option ya kufuta nyuzi kuna muda huwa tunajutia tulichopost ni basi tu tunashindwa kufuta