The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Ahahahah..humu bwana kuhusu hiz id inabud uwe makin sana.
Mwenyewe kuna mwamba kajichanganya kutumia Id ambayo alishawahi kuiweka kama jina katika watsap yake..tuko naye group moja ya high school Tosa Boys 201.....😂😂 ..naendelea kumsoma taratiibu
Ngoja nikutag kwenye story flan😄, nlimsimulia mwamba akaileta humu akajipa uhusika namuuliza anajikanyaga nikamtajia comb alisoma advance, mwaka na bweni alikaa Sijawahi muona tena
 
This was kind of myopic and childish. Kuweka mambo public ni mojawapo ya dalili kuu za kufeli maana kiwekwacho hadharani mara nyingi hushambuliwa sana hasa kama ni chema. Kama unabisha jaribu kuweka malengo yako ya mwaka huu hadharani. Nakwambia hakuna hata moja litakalotimia na mwaka utaisha vurugu tupu hutaamini.

Jifunzeni kuweka mambo yenu private (hasa yale mema) kama mnataka yaende vyema. Hili jambo ni muhimu sana maishani hasa katika jamii zetu hizi za Kiafrika ambazo bado zinasumbuliwa na ushirikina; na kutoelewa hata mambo ya msingi yanavyokwenda!

All in all Nifah is OK na tayari keshakabidhi mtima wake kwa baharia mwingine. The Jasusi himself, I believe, is also OK na si ajabu huko aliko tayari anafakamia mbususu nyingine tamu zaidi huku akitunga hadithi zake za kijasusi. Lessons learned and life must go on!

Mapenzi 🚮🚮🚮
 
Ukiandika comments mtu anakupm analeta maswali mengi, inakua kama kuchorana hv...... Kuna mada tulikua tunajadiliana jukwaa la MMU nikawa naona mtu ananireply pm badala ya pale pale jukwaani
Ahaha.yah hii ni kwel ingawa to me imetokea mara 1 scenario kama..sema yule mtoto anapenda sana ngono..halafu anapiga nyeto sio za nchii dronedrake akasome vidato kumfikia...
Ndio hivyo alinikuta rest season nikamjua vizur sana
 
Mods Tuwekeeni option ya kufuta nyuzi kuna muda huwa tunajutia tulichopost ni basi tu tunashindwa kufuta
[emoji28][emoji28] Awali unakua na akili gani ukiwa mnafanya hayo.
Sasa punde unapoaanza kukua unajigundua ulikua bonge la kilaza unajionga ulikua mjinga balaaa
 
Back
Top Bottom