The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Jamani mimi Nifah nilimjulia kule celebrate, akiwa na swahiba wake mamaa wa umbea jf nzima warumi. Kila post aliyokuwa akianzisha warumi lazama amtag Nifah, basi hapo umbea utapepetwa weeeeh mpaka basi.

Kwa upande wa The bold huyu jamaa lazima atakuwa ni JOSEN bouner na makala zake za utaki unaacha na kisa cha mwakyembe na polenium 210.

Btw niwatakieni aman na furaha katika mahusiano yenu. Ndoa nyingi zina misukosuko. One side must b band. Ukimkosea mwenzio jishushe.
 
In shaa allah... Shukrani Mkuu..
 
Kama kweli ulikua six 2009 basi una talanta aisee ..lohhhhh...

You are too young to what ur Iq is loaded..

Ila huyu nifah dizain kama ni kibibi hivi...
 
Kama kweli ulikua six 2009 basi una talanta aisee ..lohhhhh...

You are too young to what ur Iq is loaded..

Ila huyu nifah dizain kama ni kibibi hivi...
Nifah ni mdogo kwangu... Nimemzidi two years!
 
I don't know why, but to me it is a case of:

“All I have is me, myself and I and we are all getting really t̶i̶r̶e̶d̶ fond of each other.” - Carl R. White on multiple personalities.
 
Happy six months Anniversary!

Hakika nyie ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi! Mungu azidi kuwabariki mzifikie ndoto za maisha yenu!
 
Asante Madame,nilipata ujumbe wako kupitia Bold.
Nashukuru sana,nakupenda zaidi mama.
Asante kwa wewe kuwa sehemu ya familia yetu sasa.
Shukraan
Nitakucheck inbox baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…