Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Okey, nitakutafuta mkuu,Nipo mbon hujanitafuta tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okey, nitakutafuta mkuu,Nipo mbon hujanitafuta tu
Sasa huo ni uchocheziHongera pia kwa kutoa hongera,
Tulia banah,Sasa huo ni uchochezi
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Tulia banah,
the bold ni ya kwelii hayaa'?
maana wewe ni mtunzi usikute ata huyoo nifah haexist.
utatuhakikishiaje ni ya kweli? any prove?
Mkuu wee ni Msukuma!??Shukrani Mkuu..
In shaa allah... Shukrani Mkuu..Jamani mimi Nifah nilimjulia kule celebrate, akiwa na swahiba wake mamaa wa umbea jf nzima warumi. Kila post aliyokuwa akianzisha warumi lazama amtag Nifah, basi hapo umbea utapepetwa weeeeh mpaka basi.
Kwa upande wa The bold huyu jamaa lazima atakuwa ni JOSEN bouner na makala zake za utaki unaacha na kisa cha mwakyembe na polenium 210.
Btw niwatakieni aman na furaha katika mahusiano yenu. Ndoa nyingi zina misukosuko. One side must b band. Ukimkosea mwenzio jishushe.
Hapana... Why asking??Mkuu wee ni Msukuma!??
Nifah ni mdogo kwangu... Nimemzidi two years!Kama kweli ulikua six 2009 basi una talanta aisee ..lohhhhh...
You are too young to what ur Iq is loaded..
Ila huyu nifah dizain kama ni kibibi hivi...
Recently hilo kabila limetrend sanaa.. So nikawa nawaza tu..Hapana... Why asking??
Kama wewe tu, huwa hatupishani sanaaSakayo jembe sana,
Aamiyn,asante mpendwa.
Nashukuru kwa sisi kuwa role model wako,karibu in case unahitaji chochote kutoka kwetu dear.
Kama wewe tu, huwa hatupishani sanaa
Nitakucheck inbox baadae.Asante Madame,nilipata ujumbe wako kupitia Bold.
Nashukuru sana,nakupenda zaidi mama.
Asante kwa wewe kuwa sehemu ya familia yetu sasa.
Shukraan