The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Kama kweli ulikua six 2009 basi una talanta aisee ..lohhhhh...

You are too young to what ur Iq is loaded..

Ila huyu nifah dizain kama ni kibibi hivi...
This guy is talented! Hakukosea hata kidogo kufuata huu mkondo wa uandishi!
 


Am inspired, Mungu awape furaha ktk mapenzi yenu, mzidi kupendana na kuthaminiana
 
Hongereni ila kazi ipo kubwa mbele,,msiishie hapo,kazen buti haswa maana sisi tukiozuga zuga na kafalsafa kdgo cha kuzugia tunaamin kua unajua bila kufahamu,,ila kama unajua na kufahamu bas maisha ni mepes kwenu..

Unamjua Niffah then miaka minne cash ndio utaanza kumfaham,,[emoji40] [emoji40],unamjua Bold miaka minne cash ndio unaanza kumfahamu na hapo ndio penye ugumu...

Mungu awatangulie mfahamiane vzuri ili mkija kuingia rasmi ndoani bas kila kitu kiwe safiiiiii. Zingatia Kujua na kufahamu ndio msingi wa mahusiano yaliyodumu walifaulu mtihani huu.

Tchao
 
Nikikusaida kumuelezea uzuri wako, kwa kuwa mimi ninao picha yako halisi basi naamini simalizi leo, halafu nitaandika na will demand extra pepa to describes how beautiful you are, kwa leo tumuache njia panda
Hapo Sawa
 
Hili swali ni la Bold au mimi?
Hata hivyo siku hizi hakuna blind date mkuu,WhatsApp na hata PM mbona picha zinatumika?
Hahaha
Swali lilikuwa la bold,
Ila unajuaga picha sometimes zinadanganyaga mtu anachagua zile nzuri zaidi zilizofanyiwa beautification,kiasi kwamba hata asha ngedere anaonekana kama lulu
Halafu labda anatuma kichwa tu kama passport,mambo ya chura na vingine havionekani
Hiyo changamoto mliishinda vipi
 
Men are polygermas in nature stay awere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…