Mwangalie alie nyuma yako then njoo tena..............................ukoje wewe una umri gani.................?Ukitaka kujua uwongo ni hizo hoja za kuazimishwa mke, kusali kwenye kanisa la mchungaji muovu, kubembeleza mke aliyekimbia na mwanaume mwingine tena alikua anajua siku nyingi mke wake anatembea na mchungaji!
Hii ni story ya kutunga! Hakuna mwanamme mpumbafu kiasi hicho kuvumilia hayo!
Hata awe masikini kiasi gani
kwa hiyo hapa bold
ndio Emma dah umeandika kwa uchungu sana hasa hapo ulipoongelea kuhusu
watoto kila lenye kheri kupigania haya.
ila kwa yaliyotokea bado unataka kurudiana na Flora
huna haki ya kunihukumu... jibu hoja... hapa tunajadili kama great thinker...sio kuingiza personal value zangu....be intellectual..discuss idea not people...
ukitaka kujua tararira zoote alizoandika ni uongo na hazina ukweli hata chembe mwanamke kashaamua kuwa kahaba unamtaka wanini tena?? mbasha acha wehu wewe umebaka hayajakutosha hayo maswahibu unajinyonyofoa na mchungaji mixxxxyuuuu
Eti????si nasikia wameshapatana....
si nasikia wameshapatana....
Eti????
Kama ni kweli wamepatana na kama kilichobandikwa hapa ni kweli pia, basi kuna bonge la episode linakuja. No way watu wa dizaini hii wakaishi pamoja. Hiyo ndoa ishakua nongwa long taimu. Kupatana ni funika kombe...
habari ndo hiyo hapa tunasubiria episode inayofatia
Kwa hakika wala hatutasubiri sana. Ndoa ni media ni mseto wa kifo...
muelewesho mkuu ukisema ndoa ni media mseto wa kifo