The bold: Waraka

The bold: Waraka

teh teh teh. We ze bolidi mi naendelea kusoma hii komedi. Jitahidi uandae nyingine mapema iwezekanavyo
 
hehe sijakimbia tuko na maandilizi ya mkutano wa Iringa so niko busy... nimegundua kuwa watu wengi hawamfahamu Gwajima humu..na ni mbaya kumhukumu mti usiyemjua maana unaweza kuta kabeba muujiza wako si unajua Mungu anatumia watu kusaidia watu!!" anyways..nikiandika vibaya kuhusu mbasha na kumbe siye siku wakipatana aibu itarudi kwangu ..but nabaki na msimamo wangu kuwa The bold ni muongo anatumia ukweli kuwa "mkutano uliahirishwa morogoro" ili kuingiza uongo mkubwa..nina ujasiri maana nilikuwepo moro kipindi hicho.

Na Flora na Mumewe walirudi pamoja na watoti wa mchungaji Gwajima na mkewe ili kusherekea pasaka Dar. then wakarudi tukiwa tumeshaenda Kilombero sasa sijajua the bold ametoa wapi uongo huu ..ndio maana nashawishika kuwaza kuwa wale wakereketwa wa Dengue wanamuadhibu Gwajima kwa kusambaza sehemu ya mahubiri yake yanadai Dengue ni ugonjwa wa kutengenezwa. mwisho ni kuwa Ufufuo na Uzim imesemwa sana na mch Gwajima aliwahi kuundiwa tume na maaskofu wakubwa TZ ili huduma izimwe lakini haikuwezekana sembuse huyu dogi the bold ambaye kwanza anaogopa hata ku reveal identity yake..kiasi anatumia identity za watu kinyume cha sheria.

Kingine nashauri jina la mzee wa hammer libadilishwe awe mzee wa helcopter maana Mch Gwajima anamiliki helcopter sasa. ambayo itatumika mikutanoni kwa ungea uwezavyo Paulo alisema kwa hila au kwa wema sharti injili ihubiriwe!!!

Ni maombi yangu ya Nguvu kwa Mungu aliye hai AKUPE MACHO YA ROHONI. Ni ngumu sana kujitambua coz umefungwa na uganga.
 
hhuhuuuu uyu The bold ni dogo fulan alisomaga tambaza..msanii tu

Nakushauri uonane na Daktari wa magonjwa ya akili. Huwezi kuwa mzima wewe. Posti zako zinanitia sana shaka na uwezo wako wa kufikiri.

Ulisema huoni cha kujadili kwenye huu uzi, umerudi kutafuta nini? Kutuambia The bold aliposoma??
 
Last edited by a moderator:
sasa kama mtumishi ana gegeda wake za watu asisemwe? Ngoja hivi punde atagegeda wa kwako, na anananiliu sembe tukae kimya tu? Hv nyie mmelishwa nn? Duh mazingaombwe nouna yanaharibu medula oblangata zenu

utakua una kimini cha akili, soma posts zangu uelewe na ujue nimequote hviyo kwa minajili ipi, --- i never support wasanii wa dini including hata huyo TBJ

yawezekana wewe ni mdogo sana hata humjui kibwetere ni nani... well google kuhusu kibwetere

nyambafff wahed
 
Ni maombi yangu ya Nguvu kwa Mungu aliye hai AKUPE MACHO YA ROHONI. Ni ngumu sana kujitambua coz umefungwa na uganga.

amen .... maombi ni maombi tu ..siwezi yadharau!!!... ilmradi mwombaji awe msafi...
 
hehe sijakimbia tuko na maandilizi ya mkutano wa Iringa so niko busy... nimegundua kuwa watu wengi hawamfahamu Gwajima humu..na ni mbaya kumhukumu mti usiyemjua maana unaweza kuta kabeba muujiza wako si unajua Mungu anatumia watu kusaidia watu!!" anyways..nikiandika vibaya kuhusu mbasha na kumbe siye siku wakipatana aibu itarudi kwangu ..but nabaki na msimamo wangu kuwa The bold ni muongo anatumia ukweli kuwa "mkutano uliahirishwa morogoro" ili kuingiza uongo mkubwa..nina ujasiri maana nilikuwepo moro kipindi hicho.

Na Flora na Mumewe walirudi pamoja na watoti wa mchungaji Gwajima na mkewe ili kusherekea pasaka Dar. then wakarudi tukiwa tumeshaenda Kilombero sasa sijajua the bold ametoa wapi uongo huu ..ndio maana nashawishika kuwaza kuwa wale wakereketwa wa Dengue wanamuadhibu Gwajima kwa kusambaza sehemu ya mahubiri yake yanadai Dengue ni ugonjwa wa kutengenezwa. mwisho ni kuwa Ufufuo na Uzim imesemwa sana na mch Gwajima aliwahi kuundiwa tume na maaskofu wakubwa TZ ili huduma izimwe lakini haikuwezekana sembuse huyu dogi the bold ambaye kwanza anaogopa hata ku reveal identity yake..kiasi anatumia identity za watu kinyume cha sheria.

Kingine nashauri jina la mzee wa hammer libadilishwe awe mzee wa helcopter maana Mch Gwajima anamiliki helcopter sasa. ambayo itatumika mikutanoni kwa ungea uwezavyo Paulo alisema kwa hila au kwa wema sharti injili ihubiriwe!!!
unashida kubwa kuliko mtu yoyote anaweza kutambua... post yako haiendani kabisa mtu anayemwogopa Mungu, achilia mbali kusifia Helicopter
 
Kama kweli unafanya kazi ya Bwana, epuka lugha za aina hii na usijiingize katika majigambo ya kidunia. Ni kama vile umejiunga kwenye baraza la wafanya mizaha.

hata Yesu alivyopakwa marhamu ya ghara Yuda alikuwa wa kwanza kujifanya anajali gharama..mimi kusema helcopter yamikutano unadai najisifu.. duh..alafu post nzima nilioandika we umeona makosa tu"!" yaani vichwa vya watu wengine aisee.... ni shake before use!!
 
unashida kubwa kuliko mtu yoyote anaweza kutambua... post yako haiendani kabisa mtu anayemwogopa Mungu, achilia mbali kusifia Helicopter

huna haki ya kunihukumu... jibu hoja... hapa tunajadili kama great thinker...sio kuingiza personal value zangu....be intellectual..discuss idea not people...
 
Narudia tena Biblia inasema "usimuamini mwanamke usiempenda" Sembuse asiyekupenda!! Huyo Mbasha anapoteza muda majukwaani. Hata wakirudiana na huyo Flora, madhali alikua akitoka na mtu mwingine kwa muda mrefu tu, kama ni kweli, basi hana lake hapo. Mwanamke anaependa hatoki nje katu!!

Halafu, hii kitu ya kung'ang'ania usipopendwa imetoka wapi miaka hii? Ndo maana MMU walibandikaga kuhusu wanaume walio kwenye 30s walivyo majanga... Eti ooh mke anauma! My foot!! Yani agegedwe huko then lipimbi linaendelea kubaki nae hadi limeangushiwa ubakaji!! What a joke!! Na bado!!

Ispokua tu kama wanacheza mchezo wa kuigiza kupromo albamu yao ijayo, Mbasha ni SHIDA!!!!! Binafsi siwasapoti wote ila huyo wa kiume anakera zaidi kwa hoja zake. Kingine, ni upuuzi kwenda kwenye makanisa na ukazuiwa kufkiria kwa akili yako - ulopewa na Mungu huyohuyo unaeshauriwa umuabudu kipunguani. Unamuazimishaje mkeo??! ...eti amebaki anaimba kwaya!! Huyu jamaa yukoje?? Aaarrrggghhhh!!!!!

Ukitaka kujua uwongo ni hizo hoja za kuazimishwa mke, kusali kwenye kanisa la mchungaji muovu, kubembeleza mke aliyekimbia na mwanaume mwingine tena alikua anajua siku nyingi mke wake anatembea na mchungaji!
Hii ni story ya kutunga! Hakuna mwanamme mpumbafu kiasi hicho kuvumilia hayo!
Hata awe masikini kiasi gani
 
Hahaha dogo the bold kweli huna jipya mtoto mzuriiii mchungaji Gwajima ni chombo kingine wenzio walisha kaa mikutano wakubwa kuliko wewe lakini hata harufu yao haikusikika nikushauri tu nenda kauze machungwa kariakoo utatoka hii nayo imekwama:😛

Hahahaaa Lord have mercy!
 
Makosa ya Mbasha ;
-kama alijua Gwajima anazini na mke wake alichukua hatua gani.?
-Kwa nini aendelee kusali kwa mtumishi ambae sio mwamiminifu tena kwa ndoa yake, pia muuza Sembe na mfufua misukule ya uongo.?

Exactly! You are a great thinker my dear!
 
Wanaume Aina Ya Mbasha ni Janga Kwa Taifa ..

Jamaa anakuazima Mke, nawe unamuachia Moro unarudi dar... Unajua kuwa Jamaa anagonga, Bado unakenua tu Meno..

Ningekuwa na Mamlaka ningeamuru utandikwe Bakora tano kwa kuaibisha Wanaume..

Pumbaf zako.

Haswaaaaaaa.........
Mkuu kula likes laki nane! Umegusa penyewe! Umariooo jangaaaaa!
 
kwenda kwa mungu ni shughulii kweli kweli ila ema ucjali mungu yupo na haki ya mtu haipotei japo inaweza ikacheleweshwa tu
 
Haya Ndio Matatizo Ya Kulelewa na Mwanamke..

Mwanaume Hujui Kulipa Kodi, Hujui Kulipa Umeme, Hujui Kulipa Ada ya Mtoto n.k

Hapo bado unajiita Mwanaume, Lazima usaidiwe.

Huhuhuuuuuuuu........
 
Davidm salute!!!! Tukutane kesho kwenye bonde la kukata maneno!
 
Back
Top Bottom