The bold: Waraka

We jamaa pole sana na hongera kwa uvumilivu ulionao
 
Huyu jamaa sijui kinachomliza pale nini, janamke lenyewe sura ngumuuu labda ule weupe ndio unamzuzua. Watoto wabichi kabisa wapo kitaa wanahitaji mahb yeye ameng'ang'ana na kahaba la kilokole.
 
C akaolewe na jimama lingingine umarioo ukizidi bwana
 
I guess kei ya Flora lazma itakuwa na utamu wa kipekee maana sio bure jamaa kulia lia namna hii huku mchungaji haonyeshi dalili ya kuutema mzigo.
 
Huyu jamaa sijui kinachomliza pale nini, janamke lenyewe sura ngumuuu labda ule weupe ndio unamzuzua. Watoto wabichi kabisa wapo kitaa wanahitaji mahb yeye ameng'ang'ana na kahaba la kilokole.

Yule ni mke wa ndoa
 
Yule ni mke wa ndoa
Ndoa kitu gani wewe, unafikiri walioanzisha ishu za kutalikiana walikuwa hawana akili, kuna wakati ndoa inakuwa hatari kabisa. Ndio maana wenye hekima waliliona hili, kipi bora kuharibikiwa ikiwemo kifo na kutengana /kuachana?,.
 
Kilichounganishwa na Mungu mwanadamu asitenganishe
 
Yule ni mke wa ndoa

Kweli mkuu, usipokomaa hata ukioa tena wapo watakaojaribu kukupora mke, cha msingi ni kukomaa tu mpaka kieleweke, lakini kama mwanamke amekukataa hakuna jinsi zaidi ya kubwaga manyanga.
 
Kama jamaa yupo tayari kufa ili aweke historia kwa kuitetea familia yake amtungue risasi huyo anaemwibia mke wake.
 
Mkuu the Bold, bado uko JF, nakutafuta kwenye bandiko langu hili uje uwapige watu mhadhara kuhusu utakatifu wa baadhi ya wachungaji wetu.
Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo! Adai yeye ni zaidi ya Rais...
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…