The Bolds:Tunawatakia heri ya Mwaka mpya 2017

The Bolds:Tunawatakia heri ya Mwaka mpya 2017

Nikiwa kama mtoto wa pekee wa familia ya bwana The bold na bibi Nifah tunawatakia heri ya mwaka mpya wa 2017 uwe wenye mafanikio tele.
Naona watu wanavyomind kimoyomoyo eti mbona sifanani na wazazi wangu ? Nadhani hilo swali atajibu mama yangu Nifah.
Pana uzi unatafutwa huko ulitoa ahadi hebu nenda katoe neno huko pamechafuka
 
Ooooopppsss jamani mwanangu mama'ko mwaka umenijea vibaya sana maana nimeanza kwa kuumwa.
Asante toto letu tundu [emoji23] [emoji23] [emoji23]

#TheBold's
 
Acha kujitoa fahamu mkuu,umesahau hizi ni fake ID's [emoji6]
Picha tuwarahisishie waliomuweka Max korokoroni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ha! yaishe
 
Wow! Katoto ketu akili mingi sana..

Ila mama ameanza mwaka na kahoma kamenichanganya mpaka nikasahau kuwatakia kheri ya mwaka mpya..

Ila ndio uzuri wa kuwa na katoto tundu MSAGA SUMU, ametuwakilisha kwa kiwango cha lami..

Heri ya mwaka mpya..

# TheBolds
 
Back
Top Bottom