MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pana uzi unatafutwa huko ulitoa ahadi hebu nenda katoe neno huko pamechafuka
Pana uzi unatafutwa huko ulitoa ahadi hebu nenda katoe neno huko pamechafuka
Pana mtu kafungua uzi huko anasema haki itendeke ulitabiri miss tanzania awe miss world vinginevyo upigwe ban sasa wadau wamechachamaa huko .Nenda jamii photo utaukuta ujumbe wako .Mkuu Guasa Amboni jukwaa gani hilo?maana militia ahadi mbili tatu hlf zote zimegoma
Sidhani kama kuna lawama tena [emoji12]Sema mkuu the bolds hajatufungia mwaka vizuri
Kweli mama the boldSidhani kama kuna lawama tena [emoji12]
#TheBold's
kapicha tafadhaliNi mtoto wetu wa pekee mkuu.
Acha kujitoa fahamu mkuu,umesahau hizi ni fake ID's [emoji6]kapicha tafadhali
ha! yaisheAcha kujitoa fahamu mkuu,umesahau hizi ni fake ID's [emoji6]
Picha tuwarahisishie waliomuweka Max korokoroni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kawaida
Jamaniiiiiii MSAGA SUMU ni mtoto pekee wa Bwana na Bibi The Bold's mpendwa.