The Boss: "King Of MMU - 2011"

Hongera mazee.

Kwa hio umeisha kuwa King wao.

unanikumbusha those golden days
mazee ...dah...
sijui ingekuwaje mbele ya ma original kama wa DHB ...

pasingetosha lol
 
The Boss,

asante kushukuru, na wax yangu naisubiri.
Ujue nimakauka mate sana kwa kuongea!!

Pamoja sana!
 
unanikumbusha those golden days
mazee ...dah...
sijui ingekuwaje mbele ya ma original kama wa DHB ...

pasingetosha lol
Kabisa kabisa mazee, we wacha tu...kwa leo endelea na furaha yako The King of JF.
 

Baada ya kusoma hii hotuba yako mkuu,
Nimekubali kuwa maisha hapa JF ni 'real'...
Umenigusa sana na speech yako...
Kwa kiasi flani nikawa napata picha kama tupo sehemu kweli,
Umesimama pale mbele na certificate yako toka kwa Mwenyekiti wa Tume lol..
Nimependa sana, kwakweli...
Pongezi nyingi sana mkuu, nadhani hata kwa wasio kufahamu na wala ambao hawajawahi kuona post za sred zako..
Wakiona hiyo speech watakubali sana kuwa Tume ilikuwa fair....
Naamini ulivyo hapa jamvini ndivyo ulivyo hapo mtaani kwako na kwenye mishe zetu kule TOWN.
Hongera sana katika namna ya pekee Mtu Mzima Boss.
 

Mkuu hakika umekonga nyoyo za wanajf,keep it up!temekukubali na ujue unamajukumu ya kuendelea kutuelimisha.
 
Hongera sana The Boss....special zawadi coming your way from me
 
Mie hiyo acceptance speech tu! Hongera The Boss, ila nahisi huwa unashiriki grammys bana! Natumaini u-celebriti hautakubadilisha, tukikutana PM usinichunie,lol
 
....hahaha, ...am humbled mkuu...sasa vipi yule mjukuu, si waona ninavyoshusha mistari ya
copy & paste?.... Au ndio niendelee kukusoma "forget the bite i sing for you?"
Tatizo saa nyingine unajisahau unarudia tabia yako mbaya ya kung'ata LOL
 
Reactions: Mbu
Mkuu sijaona sehemu uliyosema tutaitafunaje hako ka fifty ka zawadi. Mie kangu kameshaisha before sijakabidhiwa. Jana nlikopa bia za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…